Usahili, Usaili na Udahili. Ninapata shida kujua neno sahihi ni lipi na litumike wakati gani. Sijui kuhusu Usahili, lakini nadhani Usaili ni "Interview" na Udahili, hasa linapotumika kwa Wanachuo Watarajiwa, ni "Registration"
Nitashukuru kuelimishwa!