Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
Woooteeee..... Mnakaba mimi?
Duh!!!!!
:tape::tape::tape:
Nilijaribu kufanya kautafiti kadogo kwenye hili jambo na sababu kubwa walizo zitoa wanawake zinazo pelekea wao kusagana ni.
Wanaume wao hawawaridhishi na wanawake wenzao wanajua kuzidi wanaume.
Wanawake wanachoshwa na kuumizwa ndio maana wanaona wasagane.
Lakini kutoridhika ni sababu kubwa na hili haliitaji utafiti.
I do watch a lot of series.
I almost forgot about that exclusive interview comment . Hongera kwa kumbukumbu nzuri
hivi naweza kueleweshwa usagaji unafanyikaje? yaani wanaridhishana kivipi? kuna tools maalum mmoja anatumia kuwa kama mwanaume au inakuwaje?
okay.......umewahi kuona series ya "Brother and Sisters".....
all 5 seasons :-/