Mgagagigikoko1 Member Joined Sep 15, 2017 Posts 13 Reaction score 16 Sep 23, 2017 #1 Samahani wakuu naomba kujua bei za kusafirisha mifugo mfano mbuz ngombe na kuku na magunia ya mazao kutoka mikoani kuja dar. Hasahasa kutoka mikoa ya dodoma na singida kwa malori. Asanteni sana
Samahani wakuu naomba kujua bei za kusafirisha mifugo mfano mbuz ngombe na kuku na magunia ya mazao kutoka mikoani kuja dar. Hasahasa kutoka mikoa ya dodoma na singida kwa malori. Asanteni sana
tejateja JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 1,626 Reaction score 979 Sep 25, 2017 #2 Nirahisi mkuu....