Habari zenu kwa anayefahamu jinsi ya kusafirisha vitu vya ndani kutoka mtwara mpaka dar ni kampuni gani unayoifahamu au kama kunamuhusika tuwasiliane na ninaweza kutumia kama kiasi gani hivi kwani vitu sio vingi sana vya chumba kimoja vinakaa shukrani