Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 1,003
- 1,102
Pmj sana mkuu
Hata sisi wasafiri wa angani usiku hili tangazo linatuhusu !
Kumbe tayari [emoji15]
Pole mkuu. Bila ya kufunga kioo siku hiyo, keo usingeandika uzi huu.Usiku wa juzi tulipita sekenke na Takbiir( Wasafi) ya kutokea Dar-Katoro saa tano kasorobo usiku aisee kuna jiwe lilipiga koo karibu na nilipokaa nikaona vumbi kioo kwisha habari yake.Dereva alipangua gia balaa walikagua kioo Igunga.
Nahisi ule uhuni wa zamani unarudi.
Usiku wa juzi tulipita sekenke na Takbiir( Wasafi) ya kutokea Dar-Katoro saa tano kasorobo usiku aisee kuna jiwe lilipiga koo karibu na nilipokaa nikaona vumbi kioo kwisha habari yake.Dereva alipangua gia balaa walikagua kioo Igunga.
Nahisi ule uhuni wa zamani unarudi.
Jamaa umewahi yaona yanvyokwenda ovyoo? Yema asubuhi tuuuu hata misugusugu hayajafika. Nilibahatika kukutana nayo yanavyotanua ovyo, ni balaaa.Watanzania bana daaa.
Tahadhari ni muhimu ila sidhani kama usalama unaosemwa hapa unaakisi kile kilichopo kipindi hiki.
Hakuna basi linalokimbia zaidi ya 80 iwe usiku au mchana sasa ajali ya speed ipi inayotamkwa hapa..?
Watanzania bana daaa.
Tahadhari ni muhimu ila sidhani kama usalama unaosemwa hapa unaakisi kile kilichopo kipindi hiki.
Hakuna basi linalokimbia zaidi ya 80 iwe usiku au mchana sasa ajali ya speed ipi inayotamkwa hapa..?
Hivi hiyo speed 80 unayosema kwa basi unaijua au? Usiwe umekaa kwenye siti unaendeshwa unaona ni speed ndogo, dereva ndiyo anajua timing zote za kukufikisha unapofika, na kwa kukuongezea hiyo speed 80 unayoiona mchana usiku inakuwa mara 2 yake kutokana na nature, (madereva watanielewa zaidi) . Sababu usiku macho yanaona mwisho wa taa zako tu sio zaidi ya hapo.
Hili suala lingejadiliwa kikamilifu tungekuwa na Bunge.Napenda kushare nanyi jambo moja ambalo ninauzoefu nalo sana, ndugu zangu wenye magari madogo hasa private kwa sasa epukeni safari za usiku kutokana na mabasi kuruhusiwa kutembea masaa 24.
Kutakusaidia kuepukana na ajali zisizo za lazima. Iwapo ukikutana na basi akikuletea upande wako kidogo tu ni rahisi kujiingiza uso kwa uso au kwenda nje mazima, sababu ni vigumu kuchagua pa kupita kwa ghafla maana macho yako yanaishia mwisho wa taa zako tu.
Ninauzoefu wa barabarani kwa magari yote (mabasi, malori, gari dogo) zote hizi nimeendesha kwa miaka mingi ndani na nje ya nchi. Hivyo nimeona nitoe ushauri kidogo kwa wenzangu tunaopenda safari za usiku.
Hivi hiyo speed 80 unayosema kwa basi unaijua au? Usiwe umekaa kwenye siti unaendeshwa unaona ni speed ndogo, dereva ndiyo anajua timing zote za kukufikisha unapofika, na kwa kukuongezea hiyo speed 80 unayoiona mchana usiku inakuwa mara 2 yake kutokana na nature, (madereva watanielewa zaidi) . Sababu usiku macho yanaona mwisho wa taa zako tu sio zaidi ya hapo.
Sitaweza kushindana na comment yako, inaonekana hujui lolote kuhusu mfumo mpya wa mwendo wa mabasi.
POLE SANA.