Usafiri wa treni kuelekea Kilombero Mang'ula

Usafiri wa treni kuelekea Kilombero Mang'ula

kilele

Member
Joined
Jan 14, 2012
Posts
33
Reaction score
7
Samahani kwa yeyote anefahamu treni inayoelekea njia ya Kilombero Mang'ula ni ile inayoenda Zambia abiria anapandia pale Tazara au?

Je first class ni bei gani na neo nyingine kwa ujumla?
 
samahani kwa yeyote anefahamu treni inayoelekea njia ya kilombero mang'ula ni Ile inayoenda zambia abiria how w anapandia pale tazara au? Je first class ni bei gan na neo nyingine kwa ujumla
Ni hiyo hiyo,lakin bei sifahamu
 
asante kuna mtu anaweza akawa anefahamu ratiba zake
 
Ni treni za kampuni ya Tazara mkuu...jaribu kugoogle contacts zao uwapigie kwa uhakika zaidi.
 
Wewee n wa ulimwengu gani....hapo n pa kwenda na tren sasaa...
 
Back
Top Bottom