Cheki na Masogange facebook.
Hata kama una mizigo mingi atakuelekeza jinsi ya kuipitisha.[/QUOTE
kuwa siriaz mkuu,wapigie,katika website yao wameweka info zote.
Mzigo usioulipia ni ule utakaobeba mkononi tena uwe mmoja tu. Mizigo yote inayowekwa kwenye buti lazima uilipie. Hapo kumbuka kuna vipodozi ambayo huwezi kuviweka kwenye mzigo wa mkononi, matokeo yake unaweza kukajikuta unalipia Tsh 15,000/= ili uweze kusafirisha kama mzigo wa kwenye buti lotion yako ya Tsh 7,000/=. Hutaki inatupwa kwenye dustbin.Wapendwa habari zenu???
Poleni na majukumu ya siku
Naombeni msaada wenu kwa wale waliowahi kusafiri na ndege ya Fast Jet ndani ya TZ
Nimebook kusafiri na shirika hili mwezi ujao mwishoni, nauli yao naiona resonable kulingana na matangazo yao.. niliwahi kubook nikafanyiwa laki mbili go-return.. na t'cket inaonyesha nina kilo ishirini za kuchukuwa.
ila nasikia kuna vitu ukizidissha kgs tu wanakucharge, sasa naomba wenye uzoefu na safari hizi, je hizo kg nilizoambiwa kwamba zitakuwa along with me, ni sahihi, bag yangu ya mkononi na box la kg 10 kumi hivi itakuwa sawa au wanahesabu bag ya mkononi tu???
Ushauri na mauzoefu jamani kabla sijaaibika, si unajua lazima ubebe kandoo ka samaki kutoka mwanza upelekee wenyeji zawadi!!!
msaaada.
Kumbe nauli sio hiyo wanayotangaza ya TZS 36000 pamoja na kutoe hela miezi 3 kabla unalipaTZS 200000 sasa mbona hawasemi ukweli ?nilitaka niende na alfu arobaini yangu kukata tiketi ya kwenda kule ambako Mr Sugu anaitwa raisi
Asanteni sana, nimepata idea..