Ukifika mbezi Saa 12 alfajiri kuna gari kama utiriri, za lushoto, arusha, ila sasa ili ku punguza gharama panda za Lushoto maana za arusha wanakata tiketi ya Arusha.
HEhehe sasa kuna sheria ya kuuliza kipi na kipi nisiulize, kama sifahamu kitu nauliza huku kuna watu wana weledi tu wakujibu, ungepita tu kama uzi unakukera

Kuna watu wana stress sanaa, yaani kila kitu yeye anakosoa,
Halafu heading si inajieleza, sasa kwanini ufungue uzi usioupenda??
Kama huwezi msaidia mtu basi angalau usimkwaze.