Kipande cha km 15 kimewashinda mwaka wa 8 sasa!
Ni kwa mara kwanza kusafiri na basi ambalo ni luxury kutokea Dar kwenda mkoa ule ambao miaka ya nyuma inasemekana ni mkoa uliosahaulika na ni sehemu ya adhabu kwa wafanyakazi wa serikali hii ya bongo.
Kichonikosha roho ni kuona basi hili likitoa huduma ambayo tulizoea kuziona kwenye njia za mikoa ile ya ukanda wa kaskazini, mwanzo kabisa wa safari wahudumu hujitambulisha kwa abiria wao, then kuwahabarisha utaratibu wa safari abiria wote kuhusu kufunga mkanda kwa usalama wetu, kutoa mifuko ya kuweka uchafu,utaratibu wa kuongea na muhudumu bila kubugudhi abiria mwezako, utaratibu wa kushuka kwenye gari,vinywaji baridi vya Azam. mwisho kumtanguliza Mungu kwenye safari.
Sasa kutokana hali hiyo nikakumbuka safari yangu ya 1995 kutoka huko Kusini kuja Dar ambao tulisafiri na lory kwa siku sita, usafiri mwingine ilikuwa meli siku mbili majini, duh Kusini tumetoka mbali.

Inabidi tumkumbuke Kikwete.
Wameanza miaka miwili ago. Sisi wengine hatukuona kama ni habari kubwa hivi. Nyumbani Nachingwea lindi.
kwangu mimi ni habari kubwa sana kwa vile nikikumbuka tulivyokua tunaenda pale kisutu kupokea watu wa kusini' ndugu yako akiteremka kwenye bus unaweza kumkimbia au kumsahau jinsi alivyokuwa na vumbi hadi nguo ya ndani na begi lake limepasuka, mabasi ayo ayo yalikua ayamthamini abiria, siti inauzwa ata mara tatu, unakalia siti ngumu kama vile umekalia chuma, bus la abiria 80 munashindiliwa watu 160, sasa we ukisema ujaona km ni habari kubwa inaonyesha bado hujajitambua (tembea oune)
Kwa njia hiyo bila shaka unamaanisha JM Luxury Coach maana haya mengine mhhhhhhhh
Hingera jk na magufuri kwa kuwakumbuka watu wa kusini. Tukumbukeni na sisi wakiteto, safari ya kutoka dar mpaka kiteto kipande cha kuanzia runch ya nacompaka kiteto nasi tuwekewe rami.