luqman luqman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 850
- 1,404
If I were you then I would take a lorry.
Men fear nothing.
Acha uchuro kijana wangu [emoji17]!!
...
Jana kasafirishwa dogo kwenda makao makuu ya nchi, tiketi tumekata asubuhi pale pale kwenye basi.
...
Leo nimempigia simu yule alimkatia dogo kuwa mwingine tena anaondoka kesho, jibu lake anasema njoo naye asubuhi ubungo.
...
Sasa sielewi unataka kujua au una....!
KARIBU SANA.Sawa mkuu nashkuru..
Nikajua jamaa wa Qnet wamekulipa vzr mpk umenunua hio Evoque.
Sent from my iPhone using JamiiForums