Hao wanao safiri nao ifike sehemu wajifunze.make hii ni ya kila mwaka iko hivyoSalaam
Wadau leo nimefika kituo cha mabasi ubungo...na kukutana na changamoto kubwa sana ya usafiri,ambayo imenisukuma kuanzisha huu uzi hapa JF Jukwaa huru... kwa nia ya kuiambia serikali yetu...iangalie adha hii wanayopata abiria kwenye kituo hiki kwa jicho la huruma.
Ndugu zangu hali ya usafiri jana na leo siku ambazo nimebahatika kuwepo ubungo ni tete.
Waziri unayeusika na usafirishaji tafadhali wahurumie abiria kwenye kituo cha mabasi ubungo...Waziri liangalie hili swala kwa jicho la pili na la huruma...Abiria wanateseka sana kupata magari ya kwenda makwao....Haya hapa mheshimiwa waziri ni baadhi ya niliyoyashuhudia:
-abiria wanakaa kituoni kwa zaidi ya saa nane....akisubiria gari....na mwisho wa siku anaweza asilipate
-Nauli ipo juu na uhakika wa kusafiri ni wa mashaka
-Sehemu za kupumzikia abria hakuna au hazitoshelezi mahitaji...abiria wanachomwa na jua mpaka basi...ikinyesha mvua ni yao...Jengo la kupumzikia abiria halina viti vya kutosha...abiria wanakaa chini...Luninga iliyopo kwenye jengo hili sii ya hadhi ya kituo kinachokusanya mammilioni kwa siku..
--Usafi kwenye kituo hiki ni majanga
-Waziri barara ya kuingia kituoni kupitia mlango wa nyuma ni mbuvu sana...tafadhali ongea na mkurugenzi waitengeneneze kwa kiwango cha lami
USHAURI
-Kuwepo na mpango mkakati wa muda mfupi na mrefu wa kupunguza kero za usafiri mwishoni mwa mwaka...
-Waziri kongole kwako kwa kutoa vibali kwa baadhi ya magari kupeleka abiria mikoani....eti nasikia wanapigwa cha juu hata faida hawaioni...mmmh!....
--Waziri ikiwezekana amuru baadhi ya mabasi ya mwendokasi yapeleke abiria mikoani....au umuombe mheshimiwa raisi ayaamuru magari ya jeshi yapeleke abiria mikoani...(ni njia ya kuingizi kipato pia kwa jeshi..)
---Waziri ile treni ya kwenda mikoa ya kaskazini ingekuwepo ingepunguza adha hii kwa kiasi fulani
--Hela inayokusanywa kwenye mageti..vibanda na kwenye maliwato itumike kujenga sehemu za kupumzikia abiria za muda mfupi..
Stand ya ubungo ipo mahali pazuri sana na ina eneo kubwa la kutosha....watu kutka sehemu nyingi za jiji wanaweza kuifikia kiuraisi sana...mimi ninashauri ule mpango wa kujenga stand mpya mbezi...ubadilishwe na hiyo ramani itumike kujenga hiyo stand hapa ubungo..(ni ushauri tu)
Karibuni wadau kwa maoni mengine na ushauri...
Hadi Krisimasi ndo usafiri?Salaam

Hata stendi mpya ya mbezi itakuwa na matatizo kama ubungo kwasababu wahusika hawajui kupanga mambo kwa kuona mbele. Sio lazima kuwe na stendi moja kwa jiji la Dar es Salaam kwasababu ni pana sana. Hakuna sababu abiria toka Mwanza asiende moja kwa moja Temeke au Kigamboni na abiria kutoka Kigamboni apate usafiri kwenda Mbeya au Nairobi hukohuko Kigamboni. Vivyo hivyo kwa Wilaya nyingine za Dar. Hii itapunguza usumbufu na msongamano katika kituo kimoja kama UBT au huko mbezi.Salaam
Wadau leo nimefika kituo cha mabasi ubungo...na kukutana na changamoto kubwa sana ya usafiri,ambayo imenisukuma kuanzisha huu uzi hapa JF Jukwaa huru... kwa nia ya kuiambia serikali yetu...iangalie adha hii wanayopata abiria kwenye kituo hiki kwa jicho la huruma.
Ndugu zangu hali ya usafiri jana na leo siku ambazo nimebahatika kuwepo ubungo ni tete.
Waziri unayeusika na usafirishaji tafadhali wahurumie abiria kwenye kituo cha mabasi ubungo...Waziri liangalie hili swala kwa jicho la pili na la huruma...Abiria wanateseka sana kupata magari ya kwenda makwao....Haya hapa mheshimiwa waziri ni baadhi ya niliyoyashuhudia:
-abiria wanakaa kituoni kwa zaidi ya saa nane....akisubiria gari....na mwisho wa siku anaweza asilipate
-Nauli ipo juu na uhakika wa kusafiri ni wa mashaka
-Sehemu za kupumzikia abria hakuna au hazitoshelezi mahitaji...abiria wanachomwa na jua mpaka basi...ikinyesha mvua ni yao...Jengo la kupumzikia abiria halina viti vya kutosha...abiria wanakaa chini...Luninga iliyopo kwenye jengo hili sii ya hadhi ya kituo kinachokusanya mammilioni kwa siku..
--Usafi kwenye kituo hiki ni majanga
-Waziri barara ya kuingia kituoni kupitia mlango wa nyuma ni mbuvu sana...tafadhali ongea na mkurugenzi waitengeneneze kwa kiwango cha lami
USHAURI
-Kuwepo na mpango mkakati wa muda mfupi na mrefu wa kupunguza kero za usafiri mwishoni mwa mwaka...
-Waziri kongole kwako kwa kutoa vibali kwa baadhi ya magari kupeleka abiria mikoani....eti nasikia wanapigwa cha juu hata faida hawaioni...mmmh!....
--Waziri ikiwezekana amuru baadhi ya mabasi ya mwendokasi yapeleke abiria mikoani....au umuombe mheshimiwa raisi ayaamuru magari ya jeshi yapeleke abiria mikoani...(ni njia ya kuingizi kipato pia kwa jeshi..)
---Waziri ile treni ya kwenda mikoa ya kaskazini ingekuwepo ingepunguza adha hii kwa kiasi fulani
--Hela inayokusanywa kwenye mageti..vibanda na kwenye maliwato itumike kujenga sehemu za kupumzikia abiria za muda mfupi..
Stand ya ubungo ipo mahali pazuri sana na ina eneo kubwa la kutosha....watu kutka sehemu nyingi za jiji wanaweza kuifikia kiuraisi sana...mimi ninashauri ule mpango wa kujenga stand mpya mbezi...ubadilishwe na hiyo ramani itumike kujenga hiyo stand hapa ubungo..(ni ushauri tu)
Karibuni wadau kwa maoni mengine na ushauri...
Kweli wenzetu wawape raha zaoWafufue gari Moshi(treni) la Dar -Tanga kwenda Arusha ndio suluhisho pekee la kudumu ,halafu behewa moja unalifanya liwe Baa Wachaga wafurahi
Wafufue gari Moshi(treni) la Dar -Tanga kwenda Arusha ndio suluhisho pekee la kudumu ,halafu behewa moja unalifanya liwe Baa Wachaga wafurahi