Usafiri Kafiri Kinshasa

kweli hii kali ,vyombo vyote ni vikukuuu
 
alafu nyie kubanana kidogo tuu toka mwenge hadi posta au kariakoo mnapiga keleleeeeee.
 
alafu nyie kubanana kidogo tuu toka mwenge hadi posta au kariakoo mnapiga keleleeeeee.

Hatutaki shida wewe! Nchi tajiri hii ingawa congo wana resources za kumwaga watajiju km hawadili na mafisadi wao
 
Pona yao ni kwa sababu wana spidi limit nadhani ikizidi 40 hiyo faini yake hata gari yako utaikimbia....
 
"Kulinganisha nchi iliyo katika inayodaiwa kuwa ni amani kwa zaidi ya miongo mitano, na nchi iliyo vitani ni busara".
 
kwa mbaali namwona kama fally ipupa vile ananing'inia,vita mbaya sana wazee,bandeko bandeko so lo la bien kushney,bora john bemba alivyokamatwa
 
Tanzania inatakiwa iwasaidie hawa Majirani wetu hizi Dala dala zetu zikija waturuhusu tuzihamishie huko.... ila mie sipeleki zangu oi
 
bado sijaamini hizi picha kama ni kweli maana lazima ukifika nyumbani makalio yawe na michubuko ya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…