kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,815
- 20,790
Anaenda Arusha/Moshi sio Dar, najua za dar zipo nyingi kuna bus za kigoma/mwanza/kahama n.kAsubiri basi za kutoka Bukoba au Musoma ili aingie alfajiri Dar au kesho asubuhi
Shukran boss ntamuelekeza hivyoHiyo saa moja aende pale stand ya Machame ndo njia ya Arusha anaweza pata Machame yenyewe ama private. Akikaa mpaka saa mbili hawezi kosa gari pale.
Hio ticket atakayokata ni ya bus,,, ? Linasafiri usiku ?Aende pale Machame atapata private hata inayoendeshwa na mdada au akate tiketi leo kwa ajili ya tarehe 24.
Au apande gari hadi Kondoa then apande Coaster from Kondoa to Arusha.
Basi halisafiri usiku. Kuna Machame zile Tata zinapiga Dom to Kondoa. Apande private tu ndo suluhishoHio ticket atakayokata ni ya bus,,, ? Linasafiri usiku ?
Kutoka wapi ? Private mbona zipo nyingi tuDah m naenda moshi...but gari zimejaa...sijui itakuwaje?
Shukran chief,,,wadau wengi walishauri aende hapo machame sijui ndo penye stand/kituo chao alafu asikilizieBarabara Hiyo Kwa Muda Huo Aende Machame Ila Kipindi Hiki Hatakosa Ila Lazima Awe Mvumilivu Kungoja Gari Ambayo Huna Uhakika Nalo
Hapo Buses Za Machame NA ABC Wana Ofisi Zao Kukata Tickets Na Kupanda/Kushuka.Shukran chief,,,wadau wengi walishauri aende hapo machame sijui ndo penye stand/kituo chao alafu asikilizie
Shukrani kwa maelekezo mujarabu chief !!! NB hizo costa kwa msimu huu wa sikukuu zinapatikana muda gani pengine kuanzia saa 12 hivi mpk saa 3 usiku ?Basi za mwisho n saa 9-10 tena za mbeya na hapo itakuja ikiwa imejaa hatari.
Aende pale Machame kwa msimu huu Kuna Costa Ila muda wa saa 1-3 usiku ategemee kupata Private na wengi wanaotoka muda huo huishia Arusha hvyo Kama kwao n Moshi ndan ndan itamlazimu aweke kambi Arusha au aunge akalale Moshi mjin.
Akikosa Gari ya moja kwa moja Arusha/Moshi basi anaweza panda Gari inayoishia Babati zipo zile Basi za Dar to Babati, uzuri wa Babati Costa n nyingi pia Kuna zile Basi za bukoba na kigoma zinapita Babati saa sita usiku Ila ategemee kusimama mpaka Arusha sababu huwa zinajaa sana zikitoka Singida na hzo Gari huwa haziachi mtu wao wanaangalia pesa tuu.
Akifika Arusha/Moshi usiku sana mwambie anitafute nimueleke sehemu salama kwake akapumzike
POA mkuuHapo Buses Za Machame NA ABC Wana Ofisi Zao Kukata Tickets Na Kupanda/Kushuka.
Buses Za Kutoka Songea Superfeo, Mbeya, Iringa Dar Es Salaam Kwenda/Kutoka
LAZIMA Yapite Hapo Kuna Nafasi Kubwa Kupata Usafiri
Uzuri Costa zinapaki karibu na Machame pale round about pia Costa ikijaa ndio inang'oa hvyo huenda mpaka muda huo zitakuwepo Jambo jema asichague Gari ya kupanda muhimu aangalie Hilo Gari linausalama kwa maana ya watu waliomo humo na mizigo waliopakia hii naongelea kwenye private car ambazo zitakuwa n nyingi na uhakika kuliko Costa ambazo Kuna zenye kibali na ambazo hazina kibali.Shukrani kwa maelekezo mujarabu chief !!! NB hizo costa kwa msimu huu wa sikukuu zinapatikana muda gani pengine kuanzia saa 12 hivi mpk saa 3 usiku ?
[emoji851]Na endapo atafika Arusha usiku na hana mwenyeji,mm nipo nitampokea na atapata sehemu ya kupumzika kabla ya kwenda Moshi.
Powa ngoja nimwambie Leo akasome some mazingira aoneUzuri Costa zinapaki karibu na Machame pale round about pia Costa ikijaa ndio inang'oa hvyo huenda mpaka muda huo zitakuwepo Jambo jema asichague Gari ya kupanda muhimu aangalie Hilo Gari linausalama kwa maana ya watu waliomo humo na mizigo waliopakia hii naongelea kwenye private car ambazo zitakuwa n nyingi na uhakika kuliko Costa ambazo Kuna zenye kibali na ambazo hazina kibali.
Mwisho wa siku hapa atakuwa amepata mwanga mkubwa sana mwisho n yeye Leo aende pale Machame akasome ramani tena aende muda ileile anayota kusafiri ili ajipange aone kama itawezekana