Wanawake wengi hawajui au wanadharau usafi wa sehemu zao siri ila leo nitawadokezea moja linahususu utumiaji wa sabuni katika kujisafisha na madhara yake.
Kwanza kabisa hairuhusiwi kutumia sabuni kujisafisha sehemu za siri, katika sehemu za siri za mwanamke kuna bacteria ambao husaidia kufanya sehemu kuwa salama yani kwa kifupi kuna bacteria ambao husaidia kusafisha sehemu hizo automatic ndani kwa ndani, bacteria hao husafisha sehemu za ndani kabisa,
Kwanini isitumike sabuni katika kujisafisha...!?
Sabuni ina anti-bacteria ambao kazi ni kuua bacteria wowote na kama utakua unatumia sabuni utakua unawamaliza bacteria ambao wangetumika katika kusafisha sehemu za siri hizo, kadri unavozidi kutumia ndivyo hao bacteria watazidi kuisha na hatimaye madhara hutokea.
Madhara
>kutoa harufu mbaya
>kutokua na ute ute na badala yake maji yasioleweka ndani ya sehem hizo
>kutokua na utamu sehemu hizo
Nini cha kufanya.....
Acha kabisa kutumia sabuni kujisafisha sehemu hizo, Tumia maji safi kujisafisha sehemu hizo.
Nb: Anza kujisafisha mwili baada ya hapo jisafishe sehemu hizo. Kwasababu ukianza na kujisafisha sehemu hizo baadae utapojisafisha mwili lazima utatumia sabuni na wakati unajisafisha baadhi ya sabuni itashuka kuja katika sehemu hizo.
Unaweza kuongezea...