Usafi wa Japani

Hiyo picha ya kwanza ni samaki ndani ya mitaro ya mitaani au.?
 
Ndio mkuu hao ni samaki ndani ya mitaro
 
"Wipe your phone...." wana sababu za msingi na huenda zimefanyiwa tafiti za kutosha wakaona waweke hiyo na hata kusahau mitaro ikiwa michafu
Si mitaro wanasema wanafugia samaki....bila shaka itakua misafi.....sipati picha samaki wa mtaroni alivyo..hahaha
 
Bado mifereji kupitisha maziwa. Tabata mifereji ina samaki ila viruku, na kambale. Kwa wenzetu raha wabongo smartphone tunafutia katika shati.
 
Niko mikocheni hapa naona wachina na watoto wamtaani wanavua misamaki mtaroni alafu ni wengi mno huku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…