USA wahofia sana S-400 kuuzwa nje ya Russia.

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,526
8,791
[h=1]US Displeased With Russian S-400 Air Defense Systems Going Global[/h]

[h=2]The proliferation of Russian air-defense systems like S-300 and S-400 may present a serious challenge to the air forces of the US and its allies, according to the National Interest.[/h]
1030805125.jpg

Pentagon: Russia?s S-400 Air Defense in Syria Forces US to Ground Warplanes

According to the magazine, India is about to purchase five Almaz-Antey S-400 Triumf air and missile defense systems from Russia, thus becoming the second country, along with China, to obtain the weapon. "The proliferation of weapons like the S-400 and its S-300 predecessor pose a serious challenge to US and allied air power," Dave Majumdar, defense editor for the National Interest, writes. "Both weapons systems are highly mobile, networked and can protect vast areas. Effectively, weapons like the S-400 and S-300 make an entire region inaccessible to conventional non-stealthy combat aircraft."

This "problem" is "going to get worse over time" as countries such as Iran will obtain similar weapon systems, Majumdar claims, adding that the Islamic republic has already begun to receive "a version of the S-300."
1031138626.jpg

S-400 Air Defense in Syria Gives Syrian, Russian Military More Protection

"A complete game changer for all fourth-gen aircraft [like the F-15, F-16 and F/A-18]. That thing is a beast and you don?t want to get near it," a senior US Marine Corps aviator told Majumdar regarding S-300, adding that this weapon series is a serious threat to every aircraft except for the most advanced stealth fighters and bombers. "Only the Lockheed Martin F-22 Raptor, F-35 and Northrop Grumman B-2 Spirit stealth bomber would be able to operate inside areas protected by those weapons. But even those aircraft could be challenged if there were enough S-300 or S-400 batteries operating as part of an integrated air defense network," the author concludes.
The S-400 Triumf (NATO reporting name: SA-21 Growler) is Russia's next-generation air defense system, carrying three different types of missiles capable of destroying aerial targets at short-to-extremely long range.

Safi sana mrusi,wauzie hao wachina na Irani,kwani utainua uchumi wako,
 
Mtu yeyote anaweza kuandika article, sawa sawa na gazeti la uhuru, unategemea uhuru kuandika mabaya kuhusu ccm? Au tanzania daima kuandika mabaya kuhusu chadema?

Marekani inawezaje kuogopa s_400 ambayo haijawahi kujaribiwa katika vita yoyote ile?

Marekani imekua ikizichakaza vibaya air defense systems za urusi kwa miaka nenda rudi, mfano sadam.Hussein miezi ya mwisho madarakani alinunua system kutoka Russia lakini ilichakazwa vibaya

Ghadafi wa libya alinunua very sophisticated air defense system kutoka Russia na aliitumia wakati nato na marekani walipomshambulia mwaka 2012 lakini system hiyo haikufua dafu na ilichakazwa,

Karibu nchi zote ambazo zimeshavamiwa na marekani zilikua na air defense system kutoka Russia lakini marekani ilizipiga, sasa kwa researcher yoyote yule anaweza kujiuliza swali kama marekani imekua ikizichakaza hizi systems mbali mbali za urusi inawezaje kushindwa kupata ufumbuzi wa hiyo s_400?? Na imetengenezwa na manufacturer huyu huyu alietengeneza hizo zingine zinazopigwa na marekani daily?

Mtu unaenda kuokota taarifa kwenye mitandao za waandishi biased ambao pro russia halaf unaona umeleta bonge la taarifa

Hata sisi tunataarifa nyingi za mitandaoni zilizo pro America zenye kusifu silaha za marekani, hata hivyo hatuzileti hapa maana tunaona zipo biased

Hata hivyo fact ni kwamba, urusi haiwezi kulingana na marekani kijeshi anyhow, stock zao ni vitu viwili tofauti, nchi zote duniani ukichanganya budget zao pamoja na urusi bado haifiki budget ya marekani kwa mwaka

Ndege ya Israel juzi tarehe 24 imeruka katikati ya Damascus syria na kumuua kamanda wa Hezbollah samir kantar, hii s_400 ilikua wapi?
Katikati ya Damascus ambapo Russia na,Syria zimerundika silaha zake hapo, je hii sio dharau kwa urusi?
Tena ndege yenyewe ni F 15

Mnaoshabikia Russia na hiyo s_400 mnajifariji tu
 
Kibiashara unauziwa mzigo kulingana na thamani ya pesa yako. AK47 ya mrusi inauzwa hadi leo lakini haimaanishi kwamba ndio bunduki wanayoitegemea/kuitumia kwenye operation zao. Yote tisa, kumi hizo defense system za mrusi unazosema zinachezewa na mmarekani sio hizi S-300 na S-400.
 
Mmarekani tumbo la kuendesha.
Lazima aogope kwani anajua za anga tu infantrymen hawana ni zero nimewaona Iraq hawawezi mziki wa chini.
Maiti zimeenda sana kuzikwa Germany wakati huo wakihofia wananchi watashtukia,

Na wauze tu kweli Putin ana plan za uhakika kama mzee wetu
 
Mtu yeyote anaweza kuandika article, sawa sawa na gazeti la uhuru, unategemea uhuru kuandika mabaya kuhusu ccm? Au tanzania daima kuandika mabaya kuhusu chadema?

Marekani inawezaje kuogopa s_400 ambayo haijawahi kujaribiwa katika vita yoyote ile?

Marekani imekua ikizichakaza vibaya air defense systems za urusi kwa miaka nenda rudi, mfano sadam.Hussein miezi ya mwisho madarakani alinunua system kutoka Russia lakini ilichakazwa vibaya

Ghadafi wa libya alinunua very sophisticated air defense system kutoka Russia na aliitumia wakati nato na marekani walipomshambulia mwaka 2012 lakini system hiyo haikufua dafu na ilichakazwa,

Karibu nchi zote ambazo zimeshavamiwa na marekani zilikua na air defense system kutoka Russia lakini marekani ilizipiga, sasa kwa researcher yoyote yule anaweza kujiuliza swali kama marekani imekua ikizichakaza hizi systems mbali mbali za urusi inawezaje kushindwa kupata ufumbuzi wa hiyo s_400?? Na imetengenezwa na manufacturer huyu huyu alietengeneza hizo zingine zinazopigwa na marekani daily?

Mtu unaenda kuokota taarifa kwenye mitandao za waandishi biased ambao pro russia halaf unaona umeleta bonge la taarifa

Hata sisi tunataarifa nyingi za mitandaoni zilizo pro America zenye kusifu silaha za marekani, hata hivyo hatuzileti hapa maana tunaona zipo biased

Hata hivyo fact ni kwamba, urusi haiwezi kulingana na marekani kijeshi anyhow, stock zao ni vitu viwili tofauti, nchi zote duniani ukichanganya budget zao pamoja na urusi bado haifiki budget ya marekani kwa mwaka

Ndege ya Israel juzi tarehe 24 imeruka katikati ya Damascus syria na kumuua kamanda wa Hezbollah samir kantar, hii s_400 ilikua wapi?
Katikati ya Damascus ambapo Russia na,Syria zimerundika silaha zake hapo, je hii sio dharau kwa urusi?
Tena ndege yenyewe ni F 15

Mnaoshabikia Russia na hiyo s_400 mnajifariji tu

Mkuu unaweza taja aina za hizo Air Defence? make S-300 yenyewe haijwahi uzwa nje na Irani ndo kwanza anataka kuinunua,
Na tambua kwamba kule Urusi kuna private company wanauda Air defence ndo hizo unazungumzia, sisi tunazungumzia ambazo zinakuwa funded na Serikali ya Moscow
 
Kibiashara unauziwa mzigo kulingana na thamani ya pesa yako. AK47 ya mrusi inauzwa hadi leo lakini haimaanishi kwamba ndio bunduki wanayoitegemea/kuitumia kwenye operation zao. Yote tisa, kumi hizo defense system za mrusi unazosema zinachezewa na mmarekani sio hizi S-300 na S-400.

Jamaa anashindwa kulewa kwamba kule Urusi kuna viwanda private vinaunda siraha na wanauza nje, hizi S-300,s-400, S-500 ni controle na Serikali na hazijawahi uzwa nje, Libya hajawahi kuwa na S-300
 
kam Russia wakideploy hizo missiles zao kwa marafiki zao lazima USA army waje na coutermeasure ya kudeal nazo-maana there is always a solution,ndo mana Russia nao wapo skeptical hawataki zitoa mapema.
 
s-300 inauzwa nje ya russia tena mda tu. russia ni kawaida yao wakishatengeneza kifaa kipya(s-400) cha zamani wanaweka sokoni. s-400 ndo inatumika na russia pekee ila s-300 china anazo na kazicopy anatengeneza mwenyewe saiv
 
mara zote nchi huuza kifaa amabcho kichakuwa second class kwake-hasa inapokuja swala la military hardware,vyote vya kununua havina effect kwa nchi muuzaji
 
Back
Top Bottom