Tetesi: USA issues Travel advisory to kenya After Dusit Terror

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
4,310
7,464
Security Alert: Exercise Sustained Vigilance - U.S. Embassy Nairobi | U.S. Embassy in Kenya

Hata baada ya kumsihi Trump, kumuinamilia hadi kunyonya vidole zake za miguu..T.A imetoka ya kenya.
Ndio miafrika mujue Mzungu sio ndugu Mambo ya Terror hufanyika kila muda kule ufaransa lakini Mzungu hawezi mlenga mzungu mwenzake..Lakini mwafrika ni takataka kwa mwacho ya Mzungu..
Mjitafakari sana, Mzungu mchukue kama business partner ama customer lakini sio kama ndugu..
Uhuru amemtemblea trump karibu mara tano, hadi mke wake akaja nairobi..Bado amelamba patupu
 
Sasa mkuu kama nchi iko shaken by terror si ni wajibu wa kila serikali kuwaonya raia wake wanaotaka kuitembelea nchi husika juu ya lolote linaloweza kutokea.

It's obvious man, hakuna ubaya hapo. Labda tuseme ubaya ni nyie kushindwa ku thwart Al Shabaab
 
Umesikia USA imetoa advisory ya kwenda ufaransa ama uingereza licha ya nchi hizo kupata terror attacks?
Miafrika mjitafakari
 
Security Alert: Exercise Sustained Vigilance - U.S. Embassy Nairobi | U.S. Embassy in Kenya

Hata baada ya kumsihi Trump, kumuinamilia hadi kunyonya vidole zake za miguu..T.A imetoka ya kenya.
Ndio miafrika mujue Mzungu sio ndugu Mambo ya Terror hufanyika kila muda kule ufaransa lakini Mzungu hawezi mlenga mzungu mwenzake..Lakini mwafrika ni takataka kwa mwacho ya Mzungu..
Mjitafakari sana, Mzungu mchukue kama business partner ama customer lakini sio kama ndugu..
Uhuru amemtemblea trump karibu mara tano, hadi mke wake akaja nairobi..Bado amelamba patupu
Can you read? Or do you understand what a travel advisory is?..
Why am I even trying?
 
Hapa uko sahihi kabisa, sema wenye utindio wa ubongo watakupinga tu kutokana na ukweli kwamba hakuna wanachoelewa.
Wewe ndio una utindio wa ubongo. Kwamba sio sahihi nchi ikitahadharisha raia wake juu ya usalama wao?

Hebu acheni ujinga bana. The governmet of USA has played it's part. Ku tahadharisha sio kuzuia, hakuna penye wamesema hao wamarekani wasije Kenya ila wametahadhari tu kuwa hali ya usalama ni tete.
 
Security Alert: Exercise Sustained Vigilance - U.S. Embassy Nairobi | U.S. Embassy in Kenya

Hata baada ya kumsihi Trump, kumuinamilia hadi kunyonya vidole zake za miguu..T.A imetoka ya kenya.
Ndio miafrika mujue Mzungu sio ndugu Mambo ya Terror hufanyika kila muda kule ufaransa lakini Mzungu hawezi mlenga mzungu mwenzake..Lakini mwafrika ni takataka kwa mwacho ya Mzungu..
Mjitafakari sana, Mzungu mchukue kama business partner ama customer lakini sio kama ndugu..
Uhuru amemtemblea trump karibu mara tano, hadi mke wake akaja nairobi..Bado amelamba patupu

Again this fool is talking of things you don’t understand. Clueless village idiot.
. This are issued everywhere including France, Germany, UK, Israel.
3F513530-08A9-4EDC-B1BA-BBBD16BEF257.jpeg
 
Naona hii habari imewasoninesha sana wachumia tumbo na watumwa wa mabeberu..
Punguzeni hofu..huu si mwisho wa maisha..Travel advisory naona JPM amezizoea siku hizi ..anawafurusha hata mabalozi wa ulaya na kuwaonyesha kidole cha kati😆😆😆😆
 
Walai in your next life you will be a good gossip....You are good at it...I am sure you have a hormonal imbalance or something....
 
Back
Top Bottom