US unyielding in opposing third term for Kagame

I don't miss these guys at all, ni kuwa tu right now i have some time to spare, nilishaamua kuacha kubishana na "mnyarwanda" aliyeko Dar es salaam kuhusu habari za Kigali ambapo mimi naishi na kufanya kazi!
Likewise...no one misses you. Unaona hili lijamaa lilivyo linafiki..kumponda koote Kagame kumbe linavuta hewa safi ya Kigali. Ngoja sasa tukupige PI urudi "kwenu"Tanzania, the land of milk and honey.
 
Comment imeenda shule
 
Likewise...no one misses you. Unaona hili lijamaa lilivyo linafiki..kumponda koote Kagame kumbe linavuta hewa safi ya Kigali. Ngoja sasa tukupige PI urudi "kwenu"Tanzania, the land of milk and honey.
sishangai comment yako kwa kuwa kwenu nyie rwanda ni personal property ya kagame...
 
Kwahiyo nawewe umekubali kuwa personal property? kwani umeamua kuhamia kabisa
Rwanda sio kagame, kumpinga kagame haimaanishi kuipinga Rwanda. Ila nyie kwa kuwa Kagame ni alfa na omega mmeunganisha hivi vitu viwili!
 
Rwanda sio kagame, kumpinga kagame haimaanishi kuipinga Rwanda. Ila nyie kwa kuwa Kagame ni alfa na omega mmeunganisha hivi vitu viwili!
kwa hiyo kinachokufanya umchukie ni nini? ukabila kama mshirika wako vyuma au kuna la ziada? nyie bana mtulie tufike safari!
 
kwa hiyo kinachokufanya umchukie ni nini? ukabila kama mshirika wako vyuma au kuna la ziada? nyie bana mtulie tufike safari!
Kubali kwanza kuwa Rwanda sio Kagame, kumchukia Kagame sio kuichukia Rwanda ndipo tuendelee.
 
Kubali kwanza kuwa Rwanda sio Kagame, kumchukia Kagame sio kuichukia Rwanda ndipo tuendelee.
ah wapi, sikubali! he is our symbol of TRIUMPH... tukimuona tu basi Morali juu tena juu zaidi na ukimchukia basi umetuchukia sote, lakini naomba tuendelee... labda utajifunza kitu!
 
ah wapi, sikubali! he is our symbol of TRIUMPH... tukimuona tu basi Morali juu tena juu zaidi na ukimchukia basi umetuchukia sote, lakini naomba tuendelee... labda utajifunza kitu!
Kama kwako Rwanda = Kagame basi hakuna haja ya kuendelea na mjadala. Uko juu sana kiakili! Ila sijajua bado kama kagame akifa na Rwanda nayo itafutika kwenye ramani au vipi.
 
Kama Rwanda kwako = Kagame basi hakuna haja ya kuendelea na mjadala. Uko juu sana kiakili!
ah wapi tutazidi kusonga mbele! lakini kwa hivi bado yupo makini na bado tunamuhitaji sana, basi hebu nikuulize wewe mwenye akili kidogo! hivi huko Bongo ulipopewa hifadhi hauheshimu kiongozi wao? unaweza ukatumia lugha yoyote lakini huo ndio ukweli wenyewe, mpaka pale wananchi watakapo mchagua mwingine itabidi mumueshimu tu! sasa kama kwa akili yako inamaanisha Tanzania ni yake au... utajijua! inapokuja kwa Rwanda sisi tunapitiliza kwa sababu kwetu tunamuona kama BARAKA kwa nchi yetu
 
kwa hiyo kinachokufanya umchukie ni nini? ukabila kama mshirika wako vyuma au kuna la ziada? nyie bana mtulie tufike safari!
Binafsi namchukia paka kwa mauaji anayowafanyia RAIA wa Rwanda hasa wahutu bila sababu. Roho yake ya kuuaua watu ndio inanikera na kunifanya nimchukie.
 
Binafsi namchukia paka kwa mauaji anayowafanyia RAIA wa Rwanda hasa wahutu bila sababu. Roho yake ya kuuaua watu ndio inanikera na kunifanya nimchukie.
lol! hizo ni zile nightmare zako za kila siku kutokana na kuendekeza ukabila! ukweli wa mambo huu hapa...

ACHIEVEMENTS
 
Kama kwako Rwanda = Kagame basi hakuna haja ya kuendelea na mjadala. Uko juu sana kiakili! Ila sijajua bado kama kagame akifa na Rwanda nayo itafutika kwenye ramani au vipi.
We will cross the bridge when we get there. Meanwhile, wewe ondoka rudi tanzania manake sijui kwa nini unakubali kuishi kwenye nchi ambayo haina "demokrasia" unless wewe ni mnafiki.
 
Ngoja Trump ashinde urais marekani
....viongozi wote wanaopenda madaraka...na kujipatia pesa.. Watapata wakati ngumu sana...
 
Mkuu, je PK akiwahoji ma Yankee kwamba mbona wanataka chama cha Demokratiki kiendelee kubaki madarakani for fifth TERM kwa kulazimisha - watamjibu nini PK?

Uchaguzi wa mwaka huu huko Merikani ndiyo utaifanya Dunia iwaone Wamerikani kwamba hawana Moral Authority ya kukoromea watu/Mataifa mengine kuhusu demokrasia au human rights wakati wao ndiyo wanaongoza kwa kufanya ujinga huo, kama wanaweza kulazimisha raia wao wamchangue mtu corrupt kupindukia na ushahidi hupo, mtu tapeli ananzisha foundation/NGO ya ukoo na kuwazonga Waarabu na watu wengine wenye fedha kuchangia mfuko wake wa kihuni tu, mtu muongo anaye haribu ushahidi ili asitiwe mbaroni na anakinhiwa kifua, mtu aliyetoa kibari cha kumuua Gaddafi na ku finance ISIS akishirikiana na Saudi Arabia - Dunia inatiwa msikosuko na kundi la ISIS lihunda Hillary akishirikiana na Saudia na Qatar mtu aliye finance waasi kuazisha vita nchini Syria - pamoja na mapungufu ya PK ya hapa na pale kama binadamu wengine - PK awezi kufikia ukatili na ujinga unao simamiwa Establishment nchini Merikani, actually ukilinganisha matendo yao maovu Duniani kote, PK ataonekana ni Malahaika.
 
lol! hizo ni zile nightmare zako za kila siku kutokana na kuendekeza ukabila! ukweli wa mambo huu hapa...

ACHIEVEMENTS
Cooked datas,we all know how much you are good in cooking everything.
 
Hakuna binadamu chini ya jua hili anaemzidi ukatili paka. Huyo Bi. Clinton anauwa RAIA wa mataifa mengine lakini paka anaua RAIA wake mwenyewe, mbaya zaidi anaua zaidi na zaidi wahutu tena wa kisomi ndio wanaowindwa zaidi. Paka akili zake na za shetani ni sawasawa.
 
From someone aliyefanya genocide na wajomba zake wakakimbilia uhamishoni now playing victims, sina wasiwasi soon or later wote mtapata justice you deserve
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…