US to give Ukraine long-range ATACMS Missiles

Urusi aue wanajeshi 2400 wa Ukraine na Marekani asilete hata kaushahidi Ka uongo Ka kuwahadaa wananchi wake?!

[emoji91] 30th Mechanised Brigade continue destroy orcs near Bakhmut, #Donetsk region

The Russian commanders send these orcs for meat, but thanks to drones, Ukrainian soldiers can effectively destroy invaders without risk its own life

View: https://twitter.com/GloOouD/status/1705314088971112787?t=shO3MjZNy39BnzAkJqKhsQ&s=19
 
Tunasema askari walio katika ardhi ya ukraine ni wale walio mpakani ambao sasa watashughulikiwa ni advanced long range, Urusi walitega mabomu ya ardhini halafu wakaenda kukaa mbali sasa huko mbali waliko watapata majanga kwa kiwango kile kile
Wewe una utaalamu gani katika masuala ya medium range missiles, nani kakwambia kwamba medium range missiles ndilo suluhisho la kutegua mabomu yaliyo zikwa aridhini au unafikiri Warusi hawana silaha za kudhibiti missiles za ATCMS ambazo hazina tofauti kubwa na HIMARS save range, je, unahabari za hivi karibuni nini kimeyasibu launchers na roketis za HIMARS mbona hatuzisikii siku hizi, tutegemee even ATCMS zita face same music even worse - si Biden amemu promise Abrams Main battle Tank mwishoni mwa mwezi huu, sasa tusubiri tuone Warusi wata deal nazo vipi - vitatiwa kiberiti na itakuwa aibu kweli kweli kwa Biden na NATO, nakwambia.
 
Hakuna anayekataa Urusi wana silaha za kudhibiti ATACMS lakini je ufanisi wake ukoje?! Black sea fleet headquarters yenye air defenses za kila aina ikiwemo S-400,S-300 na nyinginezo imeshindwa kutungua makombora matano Tu ya stormshadow had kupelekea HQ kulipuliwa na commander wa BSF kuuawa.

Siku chache kabla AD zimeshindwa kudaka storm shadow kadhaa ambazo ziliharibu submarine na landing ship,wakati huohuo Urusi hua anavurumisha makombora hata 50 ya cruise kalibr,kh-555,kh-101 kwenda Ukraine ambayo mengi hua yanatunguliwa. Unadhani Ukraine angekua na stockpile kama aliyonayo Russia ya kuvurumisha makombora 50 Kwa siku Hali upande wa Urusi ingekuaje?
 
Wewe una utaalamu gani katika masuala ya medium range missiles, nani kakwambia kwamba medium range missiles ndilo suluhisho la kutegua mabomu yaliyo zikwa aridhini au unafikiri Warusi hawana silaha za kudhibiti missiles za ATCMS ambazo h

Himars ziko kazini siku zote,kazi kubwa siku hizi ni kulipua artillery za Mrusi sababu ammunition dumps walishazisogeza mbali ambako Himars hazifiki

#Ukraine: Another Russian 2S4 Tyulpan 240mm self-propelled heavy mortar was destroyed by a GMLRS strike of the Ukrainian army West of Klynove, #Donetsk Oblast - as observed by a Shark recon UAV.

View: https://twitter.com/UAWeapons/status/1704024669311926774?t=FfSvAs2aLKIqv1ZuwPTtaQ&s=19

View: https://twitter.com/UAWeapons/status/1703759553945289125?s=19
#Ukraine: In #Zaporizhzhia Oblast, an uncommon and modern Russian 9A317M TELAR of the Buk-M3 air defence system was taken out of action by a GMLRS strike of the Ukrainian army, along with a 9A316/9A39M1 TEL and another vehicle from a Buk AD system being destroyed.

View: https://twitter.com/UAWeapons/status/1700062489688379567?t=VmDk9A-vDXBApQ_qJvgOxg&s=19


View: https://twitter.com/UAWeapons/status/1699101021933350997?t=nM5vylgvQYROMGQbY0hicw&s=19
 
MOSCOW (Sputnik) - The head of Ukraine's military intelligence service, Kyrylo Budanov, has said that the US battle tanks Abrams, which are expected to be delivered to Kiev soon, will not last long directly on the front line, neither are the ATACMS long-range missiles likely to become a game changer.
"They should be used in a very tailored way for very specific, well-crafted operations because if they are used at the front line and just in a combined arms fight, they will not live very long on the battlefield. They need to be used in those breakthrough operations, but very well-prepared," Budanov said in an interview with online magazine.

He also said that a small number of ATACMS missiles "won’t change the situation," as Kiev needs "at least hundreds" if not thousands of such weaponry.
The head of Ukraine's military intelligence also said that using air defense systems to fight Russian aviation is "very costly and ineffective," adding that he would prefer striking Russian air bases instead.
Kyrylo Budanov is on the Russian law enforcers' wanted list. They charge him with several crimes, including terrorist attacks on civilian
 
US anatafuta matatizo mengine sasa puttn ataigeuza majivu hii nchi maana kuna silaha ambazo hajafikiria kuzitumia
Hanna lolote, kwani alianza kutumia silaha zake bila kushambuliwa na yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…