TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,471
- 28,334
Picha hiyo ni kwa mujibu wa chanzo cha habari.Mkuu hiyo picha inahusika na jaribio hilo kweli? Maanake siamini kama Wamerika wanaweza kufanya majaribio nchini mwao kwa kulipua nuclear bomb above ground badala ya underground, mimi nafikili jaribio lenyewe lilikuwa la underground kwa ajili ya usalama wa RAIA ili wasidhulike na Nuclear FALLOUT!
What I know Americans are not saints. We can try to make them to look like saints if we will make them Mass Destructive Weapons (Atomic bombs etc.) freeDont worry Americas has no harm to the world as compared to Iran and North Korea.Just testing how harmful it is when left to be explored by other nations.
Picha hiyo ni kwa mujibu wa chanzo cha habari.
Mkuu hiyo picha inahusika na jaribio hilo kweli? Maanake siamini kama Wamerika wanaweza kufanya majaribio nchini mwao kwa kulipua nuclear bomb above ground badala ya underground, mimi nafikili jaribio lenyewe lilikuwa la underground kwa ajili ya usalama wa RAIA ili wasidhulike na Nuclear FALLOUT!
Stupid brainwashed turd! Who else used nuclear weapons?
Dont worry Americas has no harm to the world as compared to Iran and North Korea.Just testing how harmful it is when left to be explored by other nations.
Point of correction, No more warnings kutoka USA to North Korea, Marekani kaishafyata mkia tokea siku Korea Kaskazini alipotangaza hadharani kuwa anamilikki silaha za nuclear..! Hakuna kitu marekani anaogopa kama nchi kumiliki silaha za nuclear na ndo maana sasa hivi anatoa mapovu kwa Iran. Hebu vuta kumbukumbu mara ya mwisho ilikuwa lini kwako wewe kusikia mkutano kutoka kwa marekani kuijadili nuclear ya korea kaskazini?Punguza ukali Sijali.
Wakati N.Korea wanajaribu rocket yao. UN inafanya vituko.
Kama unavyosema US ndio nchi pekee iliyotumia mabomu ya nyuklia, pia inafanya majaribio ya ulipuaji wa nyuklia device hakuna karipio lakini wamekuwa wakali kwa N.Korea. link BBC News - UN Security Council condemns North Korea rocket launch
Point of correction, No more warnings kutoka USA to North Korea, Marekani kaishafyata mkia tokea siku Korea Kaskazini alipotangaza hadharani kuwa anamilikki silaha za nuclear..! Hakuna kitu marekani anaogopa kama nchi kumiliki silaha za nuclear na ndo maana sasa hivi anatoa mapovu kwa Iran. Hebu vuta kumbukumbu mara ya mwisho ilikuwa lini kwako wewe kusikia mkutano kutoka kwa marekani kuijadili nuclear ya korea kaskazini?
Uzuri amerika ni nchi ndogo sana baada ya miaka 100 haitatosha wananchi wake wataanza kwenda kwenye nchi walizozipiga kwa sumu kuishi...... ( ARABS).