US Tena: Mwana Tech Elon Musk avuta 'Bangi' live alipokua anavanyiwa interview huko California.

Ultimate

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
713
1,738
Marekani hakuishi vituko nadhan hapa Jf karibia member wote tunamjua huyu jamaa ELON MUSK sasa alipokua akifanyiwa interview na jamaa mmoja anayeitwa joe rogan huyu alimpa Elon bangi wakati kipindi kikiwa live ambapo kabla ya kuivuta alimuuliza kama inaruhusiwa joe alivyo mwambia inaruhusiwa ndo hapo elon akaanza kuvuta
interview ilikua ikifanyika jimbo la california ambapo bangi inaruhusiwa
Sc:BBC NEWS
Internet.org
 
Back
Top Bottom