Hapo sasa wanachochea arms race. Walipaswa kuwa mfano.
Tatizo kubwa ni kiburi na jeuri ya jamaa hawa - hawajifunzi kitu, kama wanataka kuanzisha tena ushindani wa kuhunda silaha kali hawatawashinda Wachina,Warusi na India - wanzao watahunda zenye uwezo marudufu+ kuliko za kwao na watabuni Delivery Systems ambazo Marekani hawana kinga za kuzi-intercept kabla hazijafika huko huko Amerika - ujeuri wao ndiyo utamaliza.
Trump na washauri wake wa Kijeshi wanaonekana kusahau uwezo wa
Tzar la Bomba lilipuliwa mwaka 1961 mpaka sasa Amerika hajawahi kufanikiwa kuhunda thermonuclear BOM lenye uwezo mkubwa kuwashinda wenzao, wakumbuke huu ni mwaka wa 56 down the line tangu kulipuliwa bomb hilo kali kumbuka wanasayansi wa Urusi walikuwa na uwezo wa kuhunda a 100MegaTonne Thermonuclear Bomb lakini waka i-Scale down to 50MT for a good reason namely kulinda %ge kubwa ya binadamu na enviroment viziharibiwe/athilike - nakuhakikishia Wangekuwa Wamerikani ndiyo wamefanya jaribio hilo kali wasingejali Dunia itasema nini.
Mwaka 2003 Wamerika wakaja na a Conventional Bom lenye nguvu za kufikia tani11 za TNT wakalipachika jina la Mother Of All Bom lili hundwa na Kampuni ya Boeing, basi Dunia ikajikuta tena inaingizwa kwenye ushindani wa kuhunda silaha kali ambazo Wamerika hawajawahi kuwapiku wenzao kwa muda mrefu mara zote Urusi wana jawabu la kuwakata ngebe - umbumbubu na dharau za Mayankee walifikiri wanasayanzi wengine Duniani awana uwezo wa kuhunda bom kama lao CNN na MSM nyingine kama kawaida yao wakatangazia Dunia wiki nzima kuhusu majaribio ya M.O.A.B, Americas didn't have to wait 4 too long for an answer - suprise, suprise come 2007 Warusi wakaja na
Father Of All Bombs ku challenge Administration ya Uncle SAM na bomb lao M.O.A.B, na cha ajabu zaidi saizi na uzito wa bom la Warusi ni mdogo ukilinganisha na la wenzao lakini Nguvu/madhala ya Bom la Urusi ni mara nne zaidi ya Marekani i.e 44T za TNT equivalent.
Kwa kuwa wenzetu hawa ni vichwa ngumu na hawajifunzi kitu, binafsi naona michezo yao ya kujiona zaidi ndiyo itakuja kuwangamiza wao wenyewe na Dunia nzima, wakina Trump na vichaa wenzake na jamaa zao wasifikiri watabaki salama - wote waangamia kama sisi wengine, wawe makini sana wanavyo deal na suala la Korea Kasikazini, Syria na nchi za Ulaya masharika zinazo pakana na Urusi.