US: Kagame May Face War Crimes Charges at the ICC


stori za vijiweni.
 
Hata za Charles Taylor zilianzia vijiweni kama hivi hivi baadae zikathibitika, sauti ya wengi ni sauti ya Mungu
Kagame is no Taylor hizo zote ni wishful thinking tuu,Kagame to Hague is not going to happen.
 
Kagame is no Taylor hizo zote ni wishful thinking tuu,Kagame to Hague is not going to happen.

We mtusi tu huna jipya,tumeshawapa wiki mbili na siku zinavozidi kusonga tutawapa 24 hours shenzi kabisa
 

USA haina rafiki wamaisha
USA ina rafiki maslahi
Kagame alitumika kuhusu Al Bashir wa sudan na kusema kuwa akikanyaga Rwanda atamkamata
alitumika kuhusu Somali
lakini sasa amejulikana wazi kuwa ni dikteta na hana nia ya kuachia madaraka
anajulikana kutumia sheria ya Genecide kukandamiza wapinzani
naamini ilikua kosa kuwaruhusu hawa kuwamo EAC
 
We mtusi tu huna jipya,tumeshawapa wiki mbili na siku zinavozidi kusonga tutawapa 24 hours shenzi kabisa
Nyie watu ni haters tuu hamna lolote na hizo chuki zitawamaliza,wenzenu interahamwe walikuwa hivyo hivyo wakaishia kuua millions waliishia wapi? is that necessary to call somebody mtusi or mhutu?
 
My friend Kagame you have crossed 2 lines; 1. umeshiriki kwenye mauaji mengi kongo na pia umewahi kuuwa wanajeshi wa Uganda kabla ya kupatanishwa na wazungu. 2. umechokoza Tanzania. sasa subiri adhabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…