US embassy in Jerusalem

Dua la kuku tu hizo. US is the world's most prosperous country economically and the most powerful militarily and whose country's visa is the most sought after.

State yao moja tu, California pato lake kwa mwaka inaizidi nchi yote ya Uingereza na pato la State yao kama Texas kwa mwaka inaizidi Afrika nzima, India na Pakistan ukiweka pamoja.......

Nchi kama hiyo sio ya kuchezea kwa kuiombea dua za kijingajinga kama hizo mnazoomba ambapo hata Mungu hawezi kuwasikia kwani hizo nchi mnazojaribu kuzipigia upatu haziheshimu haki hata za raia wake.

So long as Almighty God lives, the US will continue to prosper despite the ill will and jealousy advocated by the prophets of doom like you.
 
Very nice; very nice; very nice. Jerusalem Mji wa Bwana wa Majeshi. Wasiotahiriwa nao eti wanataka waumiliki Mji ule Mtakatifu! How? Machukizo mbele za Bwana aliyeziumba mbingu na nchi.
Hivi unawajua wasiotahiliwa au unajitekenya Mkuu!
 
Ushauri murua kabisa huu! Ni mjinga tu hataelewa Mkuu.
 
Hajielewi
 
Very nice; very nice; very nice. Jerusalem Mji wa Bwana wa Majeshi. Wasiotahiriwa nao eti wanataka waumiliki Mji ule Mtakatifu! How? Machukizo mbele za Bwana aliyeziumba mbingu na nchi.
hayo ndo madhara ya kuingia kichwa kichwa katika ulokole bila kujishughulisha na kujisomea Biblia mwenyewe na historia ya kanisa. ungekuwa unatumia hata asilimia 1 tu ya ubongo wako kujisomea usingeleta hapa hizi pumba zako.
 
Bil
Jumatatu ijayo wanaume (us) wanafungua ubalozi wao Jerusalem, all the way kutoka telvive, ulimwengu unashuhudia maamuzi ya trump ambae harudi nyuma akishafanya maamuzi, waarabu wanasimama wapi kwenye hili?
Bila shaka saudi arabia ,misri na nchi nyinginezo za kiarabu zitakuwa mbele kumuunga mkono US kwa maamuzi yenye busara .
Tunatarajia nchi zetu za kiafrika zitafuata mkono wa USA kuhamisha ubalozi Tel avivi na kwenda jerusalem tukianza na rwanda,uganda,kenya na tanzania. mh rais magufuri alisema kufungua ubalozi Israel nchi yenye baraka ni suala lisiloepukika
 
Ni bora ukaenda mbali ili tujue, maana elimu ina kawaida ya kutoka mbali, ni wapi ktk imani yako mungu alisema atakayempiga yesu kristu nitampiga ,atakaemlaani nitamlaani. Lakini juu ya hao israel amesema nini na uzao wake, alimuadia nini Ibrahimu na uzao wake,
 
Pia huwa nafikiri wakristu tuna tatizo la uelewa, wayahudi kumkataa yesu nafikiri ulikuwa ni Mungu alifanya miyo yao iwe hivyo ili kusudi lake litimie la kuteswa, hata kuuwawa ili tukombolewe, fikiria wangempokea nguvu ya Mungu ingeonekanje,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…