mkuu sijui mambo ya kiuchumi lakini nionavyo idadi ya watu wa nchi waanzilishi wa BRICS kweli wakiamua kuepuka kuitumia USD, hakika dolla itatingishika, na kama wakiweza kuzishawishi nchi nyingine kuungana nazo kuiepuka basi dunia itashuhudia mageuzi makubwa.ona uwingi wa Wachina,Wahindi,Wabrazili sio habari ndogo hii.