Iran's state news agency claims the drone was shot down when it entered the country's airspace over the province of Hormozgan; U.S. official says the drone, Navy MQ-4C Triton, was shot down by an Iranian surface-to-air missile
www.ynetnews.com
Baada ya kukataa kua hakuna drone yoyote iliyoangushwa na majeshi ya Iran muda ni mwalimu mzuri Iran walitoa video ikioneshwa drone ikiwa angani inawaka moto! Sasa US wamethibitisha kua drone yao aina ya RQ-4 Global Hawk imeangushwa kwenye anga ya kimataifa na haikua kwenye anga ya Iran....tutegemee msuguano hasa baada ya US kukiri Ndege yake kutunguliwa na uku ikisema haikua ime violate anga ya Iran hivyo Iran imekiuka mikataba ya kimataifa....ikumbukwe hii drone ya RQ-4 global Hawk cost yake ni sawa na F-35 mbili....
... US wamethibitisha kua drone yao aina ya RQ-4 Global Hawk imeangushwa kwenye anga ya kimataifa na haikua kwenye anga ya Iran....tutegemee msuguano hasa baada ya US kukiri Ndege yake kutunguliwa na uku ikisema haikua ime violate anga ya Iran hivyo Iran imekiuka mikataba ya kimataifa....ikumbukwe hii drone ya RQ-4 global Hawk cost yake ni sawa na F-35 mbili....
hakuna habari ya kuwekewa mtego. hicho chombo cha gharama kubwa sana. hakiwezi kuwekwa kama boya au mtego. Kimelambwa bila US kutegemea kama Iran wangeweza kuilamba kama karata.
hakuna habari ya kuwekewa mtego. hicho chombo cha gharama kubwa sana. hakiwezi kuwekwa kama boya au mtego. Kimelambwa bila US kutegemea kama Iran wangeweza kuilamba kama karata.
Hiyo ndege imeingia kwenye anga la iran. Iran sio mpuuzi ashambulie tu. Na ameshasema sio USA tu mtu yoyote akiingia kwenye anga lake lazima achezee kichapo