kama kawaida, raha moja wapo yakuishi marekani ni uhuru, hata waingereza wananufaika na hili. wazungu huwa hawawezi kuelewana na fundamentalists tu. kwakuwa wanaamini uhuru ni sehemu ya maendeleo. nadhani hawa wenye hili kanisa hawambughudhi mtu zaidi ya wao wenyewe, kubarikiwa.
ha ha ha, waendelee tu, kwani hata huku bongo kuna wahadzabe(hunter and gather tribe) wanaishi uchi kama wanyama, tena hata akikukuta umelala na mkewe hawana wivu kabisa. sasa ukiwachukua hawa waadzabe ukafungua tawi kule kijijini kwao la kusali uchi, watajaa balaa.