kajifunze kwanza kuandika au wewe ni mrwanda?Marikano hawezi pekeake bila msaada. Mutakuja kuniambia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shauri yako. Ngoja waje uoneKm masaa 4 wameharibu 20% ya uwezo wa kijeshi wa Syria...............Najaribu kuimagine wakitumia siku nzima Syria itakuwaje....
Achana na wamarekani.....Warusi wachumba tu
Porojo hizo! Masaa kadhaa baada ya shambulizi la marekani, syria iliushambulia tena kwa ndege ule mji iliodaiwa kuushambulia kwa kemikali! Na marekani kula kona!Km masaa 4 wameharibu 20% ya uwezo wa kijeshi wa Syria...............Najaribu kuimagine wakitumia siku nzima Syria itakuwaje....
Achana na wamarekani.....Warusi wachumba tu
Msaada wa nani?!,jiulize kwenye vita zote ambazo NATO imeshiriki US huwa anachangia asilimia ngap ya vifaa na wanajeshi. Hpo utapata jibu lako.Marikano hawezi pekeake bila msaada. Mutakuja kuniambia
Nchi za kiarabu ziamke. Kama walianza na Iraq,Afghanistan, Libya na sasa Syria basi wote watakwisha. Wanapunguzwa nguvu polepole. Mwisho wakimalizwa Misri na Iran then kushinei.
Waanzishe jihad dhidi ya maharamia ya magharibi
Km masaa 4 wameharibu 20% ya uwezo wa kijeshi wa Syria...............Najaribu kuimagine wakitumia siku nzima Syria itakuwaje....
Achana na wamarekani.....Warusi wachumba tu
Asee ndugu usipanicWith 220,000 active persoell, 4,950 tanks and 473 aircraft unaamini kabisa 20% ya hivyo vyote ilikuwa pale walipohit na tamahawk zao?
Lest's see the stats here;
1. 20% ya 220,000 personell = 44,000 personnel (Iliripotiwa wamekufa watu 7 tu)
2. 20% ya 4,950 tanks = 990 tanks (Hakukuripotiwa kuharibiwa kwa tank yeyote)
3. 20% ya 473 aircraft = 94 aircraft (Iliripotiwa kuwa ni ndege 6 zilizokuwa kwenye m
atengenezo ndizo zilizoharibiwa)
Tumeona picha ndege kama Nane zilizokuwepo pale uwanjani hata hazijalipuliwa. Uwanja wenyewe umeharibiwa kidogo sana, afu mtu anasema ameharibu 20% uwezo wa kijeshi wa Syria. Maana yake ameharibu 20% ya (Personnel + Tanks + Aircrafts etc) afu mtu bado unaamini kikondoo tu bila hata kureason. Hii nchi ndo maana ipo hapa ilipo sababu ya kumeza kila kitu kama kilivyo.
Nalog off.
Kweli kabisa wanaogopa sana USSRKwani huyi USA NA NATO kama wanauwezo si waamue tu kumsambaratisha ASSAD kumuomba omba urusi kuwa akubali hiki mara kile yote ni wekness tu.
Shida ya nini si wanajiamini waanze kumtoa
Asee lazima anatakiwa amuunge bashiteKwa hiyo USA inataka Russia imuunge mkono nani? BASHITE au Miss Natafuta?
Mkuu hilo jambo sio la mchezo mchezo kabisa...Kwani huyi USA NA NATO kama wanauwezo si waamue tu kumsambaratisha ASSAD kumuomba omba urusi kuwa akubali hiki mara kile yote ni wekness tu.
Shida ya nini si wanajiamini waanze kumtoa