Ni kiburi cha Zelensky tu! Inasemekana US na NATO wamemshauri ayatoe majeshi yake kwenye mji huo! Na wakicheza siyo muda mrefu wanajeshi wa Russia wataunzingira mji huo kikamilifu.
Matokeo yake kilichotokea Moriopol city 2022 wakati kile kikosi hatari cha Ukraine Azov battalion kilivyojisalimisha ndivyo ambavyo itatokea katika mji huo!