Crimea, Urusi: Takribani watu 10 wamefariki baada ya meli mbili zilizokuwa zikipeperusha bendera ya Tanzania kuwaka moto

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,371
33,019
Meli mbili zenye kupeperusha Bendera ya Tanzania zinawaka moto huko kando ya pwani ya Crimea kwenye Bahari Nyeusi. Taarifa zinasema tukio hilo linatokea karibu na mlango bahari wa Kerch ambapo pana msuguano mkubwa baina ya Russia na Ukraine na katika siku za karibuni Russia ilichukua uthibiti wa meli tatu za Ukraine zilizokuwa zikinajaribu kupita sehemu hiyo.

Wanamaji wa Russia wanajaribu kuwaokoa mabaharia wa meli hizo ambao wamejirusha baharini ili kuokoa maisha hao.

_105286601_vessel.jpg

Footage showed one of the vessels ablaze following an explosion

_105287795_hi051808804.jpg

The fire, involving two ships in the Kerch Strait, forced crew members to jump overboard


_85184728_ukraine_crimea_russia_map_v6_624.jpg


Ships hit by deadly blast near Crimea

========

Two Tanzania-flagged cargo vessels are ablaze in the Black Sea near the Kerch Strait, and Russian rescuers are trying to reach sailors who jumped overboard.

So far three have been rescued and one dead body has been recovered, Russia's maritime agency Rosmorrechflot says.

One ship is a gas tanker, and the fire reportedly followed an explosion, which set the other vessel on fire.

They were named as the Kandy, with a crew of 17 from Turkey and India, and Maestro, with 14 sailors.

The Kerch Strait is a focus of tension between Russia and Ukraine.

In November Russian border guards seized three Ukrainian naval vessels near the narrow channel, which links the Black Sea with the Sea of Azov.

A court in Russia has extended by three months the detention of 24 Ukrainian sailors captured in the incident. They are accused of illegally crossing into Russian territory.

Ukraine condemned the Russian move, denying that its ships had violated the navigation laws in the area. The strait lies off Ukraine's Crimea peninsula, which Russia annexed in 2014.
Watu 14 wamefariki dunia, watano hawajulikani walipo huku wengine 12 wakiokolewa baada ya meli mbili zenye bendera za #Tanzania kuwaka moto katika eneo la Kerch Strait, nchini Urusi.

Moto huo umeripotiwa kuanza wakati meli moja ikihamishia mafuta kwenye meli nyingine. Watu 31 walikuwamo katika meli hizo.

Mwaka jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliwaagiza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasliano wakati huo Prof. Makame Mbarawa Mnyaa na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafuishaji wa Zanzibar Balozi Ali Abeid Karume kusitisha usajili wa meli mpya hapa nchini mpaka hapo itakapotangazwa vinginevyo. Mhe. Rais Magufuli alotoa agizo hilo tarehe 19 Januari, 2018 alipokuwa akizungumza na wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, kikao ambacho kilihudhuriwa na Mawaziri hao. Alitoa agizo hilo ili kujipanga upya kufuatia taarifa za kukamatwa kwa dawa za kulevya katika meli zinazopeperusha bendera ya Tanzania zinazofikia meli 5.

Sambamba na kusitishwa kwa usajili mpya wa meli Mhe. Rais Magufuli amewagiza Mawaziri hao pamoja na vyombo Nya dola kufanya uchunguzi wa kina kwa meli zote 470 ambazo zimesajiliwa hapa nchini na zinapeperusha bendera ya Tanzania.

Lakini hadi sasa kama wananchi hatujajua hatua zilizochukuliwa.

Meli yenye bendera ya Tanzania yakamatwa ikiwa na Dawa za Kulevya tani 1.6 - JamiiForums

Rais Magufuli asitisha Usajili wa Meli Tanzania, aagiza uchuguzi wa kina wa Meli 470 zilizosajiliwa Ufanyike - JamiiForums

Zanzibar: Rais Shein amesema suala la Usajili wa Meli za nje si suala la Muungano, Usajili upo Kisheria - JamiiForums


======

Fourteen crew members dead as two gas tankers catch fire near Crimea
19:54, UK, Monday 21 January 2019

skynews-crimea-fuel_4553172.jpg

Image:The fires started when one vessel was transferring fuel to another

Fourteen people have died and five are missing after two gas tankers caught fire near Crimea, Russia's transport ministry has said.

The fires broke out when one vessel was transferring fuel to another in the Kerch Strait connecting the Black Sea and the Sea of Azov.

Workers on both ships had to jump overboard and fourteen crew members have been found alive.


skynews-kerch-strait-black-sea_4553110.jpg

Image:The ships caught on fire in the Kerch Strait connecting the Black Sea and the Sea of Azov
The vessels were sailing under the Tanzania flag.

Alexei Kravchenko, spokesman for Russia's federal agency for maritime and river transport, said: "There are 11 bodies.
"Another three people went under water before rescue workers' eyes."
He added that those three are most likely dead.
skynews-kerch-strait-black-sea_4553110.jpg

Image:The ships caught on fire in the Kerch Strait connecting the Black Sea and the Sea of Azov
The two ships, named Kandy and Maestro, were carrying 31 people in total and most of them were Turkish or Indian citizens.

Mr Kravchenko said twelve people survived but "no one knows where the other five people are".
A rescue operation is still underway and authorities in the Russia-annexed city of Crimea are preparing to receive the victims.
An industry source told Reuters there were stormy conditions in the sea when the fires broke out.
skynews-map-ukraine-kerch-strait_4500403.jpg

Image:The ships caught fire near Russia-annexed Crimea
 
Nakumbuka Magufuli alipiga marufuku kusajili meli nchini. Ile marufuku yake imeshaondolewa?
 
Bendera yetu inafanya nini Crimea,Tanzania ipo Africa na Putin alisemaga africa ni kaburi la waafrika,more updates please.
 
I can bet my life on it, usajili huo ni wa kimagushi magumashi.....tusubiri wasemaji wa siri-kali watoe neno.
 
Nakumbuka Magufuli alipiga marufuku kusajili meli nchini. Ile marufuku yake imeshaondolewa?
nchi ile walitunisha Msuli si unafahamu ongea yao ya taratibu ila wamedhamilia wakati huku kanda ya ziwa twaongea kwa kukandamiza!
 
Ukizingatia Meli zilikuwa na waturuki wengi zaidi

Ukizingatia Waturuki wanajenga reli ya Mwendo kasi (SGR)

Ukizingatia kuna tetesi kuwa kuna mkopo wa kujenga reli umechukuliwa Urusi kwa masharti ya chuma kinunuliwe kutoka Urusi

Na ukizingatia meli zilikuwa za kibiashara

JE NI MZIGO WETU HUO ULIOPOTEA NA HIYO AJALI?

JE NI AJALI KWELI AU HUJUMA ?
 
Back
Top Bottom