Urusi imeuvunja moyo wangu

Kumbuka vifo vya wanajeshi ndio vitakavyowarudisha nyuma. Maisha matamu hata kama ni mjeshi

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
usiniforce nichambue gharama zingine za uendeshaji wa vita nilizo ziacha pamoja na athar za vikwazo na mali za urusi alizo poteza kupitia sunctions. usinifanye nifafanue Swift na mambo mengi kwa undani zaid.
tukutane kwenye uzi ujao
Uzi ujao mwanangu vip? Tayari nausubiri sisi wajerumani wa kankonko

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wabongo mnachekesha sana, ujuaji mwingi.
Ukiambiwa VITA basi kaa ukijua Kuna wanajeshi watauwawa, uhalibifu wa vitu mbalimbali km tanks, ndege, nk.
Mnadai putin anapigwa wakati bado yuko ukrein na maeneo mengi bado kayashikilia. Km angepigwa mpaka sasa asingekuwepo Ukrein, angesharudishwa nyuma na vita ingepiganiwa ndani ya Rusia. Acheni propaganda za kitoto. Ukrein haitakuwa Ukrein tena baada ya opareshen ya Rusia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…