Urusi haitashinda hii Vita

Wengi wanajua kuchambua siasa za Rufiji na Bagamoyo..Huko ng'ambo tuwaachie wenyewe..
 
Leo hii comedian ameomba kikao na Simba wa Vita Putin kwa mara ya kwanza ameweka ofa ya kuondoa ombi lake la kujiunga NATO, wale Warusi wanapiga popote
 
Wanatakiwa wapigwe mpaka wachakae , siku nyingine wasiwe chawa wa US na EU
 
Bado sanctions zinaendelea, silaha mnaendelea kupeleka, vikao kila uchwao, wakimbizi zaidi ya milion 3 wapo huko ulaya, hii ndio Urusi mtapokea sana wakimbizi
URUSI kachoka sana UWANJANI...........
 
Sisi tunaendelea kuneutralize Ukraine military capability, nakukumbusha juzi Rais wa Ukraine kaililia Israel msaada kama mtoto mdogo, kiukweli kachanganyikiwa badala ya kuomba analazimisha
Ni kweli, mnaacha magofu ya vifaru na magari, bahati yako ni mbali maana Watanzania kwa kupenda chuma chakavu..............
 
Hakuna jengo litasalia bila kuguswa pale Ukraine, na tutahakikisha zaidi ya watu 15m ni wakimbizi huko ulaya, halafu hamna cha kutufanya nyie US na EU
Halafu mnarudisha maiti nyumbani au mtaziacha Ukrein..Hayo magofu ya vifaru wenyewe wako wapi..
 
Kwani Ukraine maiti wanaweka makumbusho? sasa hivi Ukraine wanazikana kwa mafungu , Ukraine itakuwa ndio nchi yenye wakimbizi wengi duniani siku zijazo
Na Urusi inakuwa nchi maskini sana. Hata kukaribishwa kwenye G7 hapewi nafasi tena.
 
Unaandika upuuzi tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…