mim sioni haja ya kuendekeza urithi kwani matoto mengi yanayotegemea urithi yanakuwa majinga majinga. urithi wa mtoto wa kisasa ni ELIMU tu, maana ukimpa chochote kitapukutika ila elimu itamsaidia kuweza kumudu mazingira yake
Jamaa kauliza suala zuri kabisa lakini wakosefu wa elimu munajibu bila mpango. Sisi Waisilamu suala la urithi limo kwenye kitabu chetu kitukufu, Qur'an. Na hapo hapo napenda kuuliza kama kwenye Bible hakuna masuala ya kurithi.
Suala zuri ila linahitaji elimu. Sisi Waisilamu suala la urithi limo kwenye kitabu chetu kitakatifu, Qur'an, kwa hiyo huwa hatuna utata juu ya masuala kama haya. Ila napenda kuuliza kama katika Bible hamna mambo ya urithi.