tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,139 Sep 29, 2012 #1 kwa aliyesoma B.com in Finance au B.com in Accounting anaweza kunipm kwa more details. Kama upo Tanga, Moshi au Arusha itakuwa njema zaidi. Asanten
kwa aliyesoma B.com in Finance au B.com in Accounting anaweza kunipm kwa more details. Kama upo Tanga, Moshi au Arusha itakuwa njema zaidi. Asanten
magessa78 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2009 Posts 270 Reaction score 31 Sep 29, 2012 #2 Tindikali...elezea zaidi..habari yako ni nusu nusu...tutor wa chuo gani..aweje..salary!
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,139 Sep 29, 2012 Thread starter #3 magessa78 said: Tindikali...elezea zaidi..habari yako ni nusu nusu...tutor wa chuo gani..aweje..salary! Click to expand... mkuu mimi ni 3rd part tu, ndo maana nimeomba watu wanipm, sina autority ya kupublish hizo information
magessa78 said: Tindikali...elezea zaidi..habari yako ni nusu nusu...tutor wa chuo gani..aweje..salary! Click to expand... mkuu mimi ni 3rd part tu, ndo maana nimeomba watu wanipm, sina autority ya kupublish hizo information
toghocho JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 1,172 Reaction score 198 Sep 29, 2012 #4 nimekupm mkuu, naona kimya
dada white JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,228 Reaction score 515 Oct 3, 2012 #6 magessa78 said: Tindikali...elezea zaidi..habari yako ni nusu nusu...tutor wa chuo gani..aweje..salary! Click to expand... Ana suplementaries anataka kufundishwa ili akazichomoe.
magessa78 said: Tindikali...elezea zaidi..habari yako ni nusu nusu...tutor wa chuo gani..aweje..salary! Click to expand... Ana suplementaries anataka kufundishwa ili akazichomoe.
mpalu JF-Expert Member Joined Sep 15, 2010 Posts 2,521 Reaction score 876 Oct 4, 2012 #7 dada white said: Ana suplementaries anataka kufundishwa ili akazichomoe. Click to expand... dada white umejuaje
dada white said: Ana suplementaries anataka kufundishwa ili akazichomoe. Click to expand... dada white umejuaje
dada white JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,228 Reaction score 515 Oct 4, 2012 #8 mpalu said: dada white umejuaje Click to expand... Mi si jiniaz wa kike naeishi Sinza kwa Mtogole
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 584 Oct 5, 2012 #9 dada white said: Mi si jiniaz wa kike naeishi Sinza kwa Mtogole,MNALETA UTANI? EEEH ENDELEENI BY A.S.P SAMITI Click to expand...
dada white said: Mi si jiniaz wa kike naeishi Sinza kwa Mtogole,MNALETA UTANI? EEEH ENDELEENI BY A.S.P SAMITI Click to expand...
mpalu JF-Expert Member Joined Sep 15, 2010 Posts 2,521 Reaction score 876 Oct 5, 2012 #10 SAMITI said: dada white said: Mi si jiniaz wa kike naeishi Sinza kwa Mtogole,MNALETA UTANI? EEEH ENDELEENI BY A.S.P SAMITI Click to expand... kwani sinza hawezi kuishi jiniaz Click to expand...
SAMITI said: dada white said: Mi si jiniaz wa kike naeishi Sinza kwa Mtogole,MNALETA UTANI? EEEH ENDELEENI BY A.S.P SAMITI Click to expand... kwani sinza hawezi kuishi jiniaz Click to expand...
mpalu JF-Expert Member Joined Sep 15, 2010 Posts 2,521 Reaction score 876 Oct 5, 2012 #11 dada white said: Mi si jiniaz wa kike naeishi Sinza kwa Mtogole Click to expand... eti eeh..karibu kwetu Tandale kwa Tumbo
dada white said: Mi si jiniaz wa kike naeishi Sinza kwa Mtogole Click to expand... eti eeh..karibu kwetu Tandale kwa Tumbo
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,139 Oct 5, 2012 Thread starter #12 MTITIMA said: Hamna jipya hapa Click to expand... U-Tomaso ndo unaowaponza, unatumia vigezo gani kusema hamna kitu? Mtu kashaajiriwa na kazi anaanza Jumatatu.
MTITIMA said: Hamna jipya hapa Click to expand... U-Tomaso ndo unaowaponza, unatumia vigezo gani kusema hamna kitu? Mtu kashaajiriwa na kazi anaanza Jumatatu.
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,139 Oct 5, 2012 Thread starter #13 dada white said: Ana suplementaries anataka kufundishwa ili akazichomoe. Click to expand... vilaza utawajua tu, unawashwa na nini dada?
dada white said: Ana suplementaries anataka kufundishwa ili akazichomoe. Click to expand... vilaza utawajua tu, unawashwa na nini dada?
dada white JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,228 Reaction score 515 Oct 5, 2012 #14 tindikalikali said: vilaza utawajua tu, unawashwa na nini dada? Click to expand... Huna lolote we ndo umedhirisha UBONZO wako kwa kuandika tangazo la kazi utafikili matangazo ya WAGANGA wa jadi.
tindikalikali said: vilaza utawajua tu, unawashwa na nini dada? Click to expand... Huna lolote we ndo umedhirisha UBONZO wako kwa kuandika tangazo la kazi utafikili matangazo ya WAGANGA wa jadi.
UKWELIWANGU Member Joined Aug 11, 2011 Posts 82 Reaction score 5 Oct 6, 2012 #15 tindikalikali said: kwa aliyesoma b.com in finance au b.com in accounting anaweza kunipm kwa more details. Kama upo tanga, moshi au arusha itakuwa njema zaidi. Asanten Click to expand... thanks
tindikalikali said: kwa aliyesoma b.com in finance au b.com in accounting anaweza kunipm kwa more details. Kama upo tanga, moshi au arusha itakuwa njema zaidi. Asanten Click to expand... thanks
M MTITIMA Member Joined May 31, 2011 Posts 23 Reaction score 4 Oct 6, 2012 #16 Siku nyingine kabla hujaandika Tangazo la kazi angalia wenzio wanaandikaje then coppy and paste sio u atuandikia Tangazo utadhan umelazimishwa.
Siku nyingine kabla hujaandika Tangazo la kazi angalia wenzio wanaandikaje then coppy and paste sio u atuandikia Tangazo utadhan umelazimishwa.
toghocho JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 1,172 Reaction score 198 Oct 6, 2012 #17 tindikalikali said: U-Tomaso ndo unaowaponza, unatumia vigezo gani kusema hamna kitu? Mtu kashaajiriwa na kazi anaanza Jumatatu. Click to expand... duh, kweli kazi ipo
tindikalikali said: U-Tomaso ndo unaowaponza, unatumia vigezo gani kusema hamna kitu? Mtu kashaajiriwa na kazi anaanza Jumatatu. Click to expand... duh, kweli kazi ipo
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,139 Oct 6, 2012 Thread starter #18 dada white said: Huna lolote we ndo umedhirisha UBONZO wako kwa kuandika tangazo la kazi utafikili matangazo ya WAGANGA wa jadi. Click to expand... we endelea kukesha humu na utasubiri sana, sikuja kuonesha ubingwa wa kuandika matangazo na sidhani kama kuwa au kutokuwa na lolote kuna msaada wowote kwako. Kama kuandika nilichoandika unadhani ni ubonzo acha tu nikupongeze kwa hilo.
dada white said: Huna lolote we ndo umedhirisha UBONZO wako kwa kuandika tangazo la kazi utafikili matangazo ya WAGANGA wa jadi. Click to expand... we endelea kukesha humu na utasubiri sana, sikuja kuonesha ubingwa wa kuandika matangazo na sidhani kama kuwa au kutokuwa na lolote kuna msaada wowote kwako. Kama kuandika nilichoandika unadhani ni ubonzo acha tu nikupongeze kwa hilo.
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,139 Oct 6, 2012 Thread starter #19 MTITIMA said: Siku nyingine kabla hujaandika Tangazo la kazi angalia wenzio wanaandikaje then coppy and paste sio u atuandikia Tangazo utadhan umelazimishwa. Click to expand... wenzangu wepi mkuu? Mbona unapenda kuishi kwa kukariri? Kipi ambacho akijaeleweka katika hii thread?
MTITIMA said: Siku nyingine kabla hujaandika Tangazo la kazi angalia wenzio wanaandikaje then coppy and paste sio u atuandikia Tangazo utadhan umelazimishwa. Click to expand... wenzangu wepi mkuu? Mbona unapenda kuishi kwa kukariri? Kipi ambacho akijaeleweka katika hii thread?
Tram Almasi JF-Expert Member Joined Feb 26, 2009 Posts 748 Reaction score 227 Oct 6, 2012 #20 mpalu said: SAMITI said: kwani sinza hawezi kuishi jiniaz Click to expand... Lazima uwe ''jiniaz'' ili uweze kuishi kiujanja ujanja-Sinza kwa Wajanja! Click to expand...
mpalu said: SAMITI said: kwani sinza hawezi kuishi jiniaz Click to expand... Lazima uwe ''jiniaz'' ili uweze kuishi kiujanja ujanja-Sinza kwa Wajanja! Click to expand...