Ila bana Hawa waajiri wao wanaweka wanachokitaka mtu awe nacho Ila wao hawawezi kuweka wao Wana nini ili mtu ajue ama aone kuwa trading deal can be transacted or not.
Unasema unahitaji ugs unazo rwf Sasa bana husemi rate ni ngapi unatoa.
Maisha yetu ni trading ama ni kubadilishana thamani , ndio mana binadamu mwenye thamani anapendeka kirahisi mno.
Wewe ukiwa upo upo hautopendeka popote hata kwa mzazi,mwanao,mkeo,mmeo,marafiki nk hakuna atakayekuhitaji hata ndugu watakukwepa kukuonyesha u ndugu yao