Wana JF nashukuru kwa wale walio apply na nimecompile kila kitu natuma sasa Naomba tangazo hili liwe closed as from this time. Naomba mjue kitu kimoja kwamba mimi sio HR na wala HR hahusiki na kuajiri watu katika kampuni yetu bali watu wa recruitment ndio wanahusika. So mimi ni mwajiriwa wa kawaida tu lakini kwakuwa ni mwenyeji hapa TZ nikaambiwa hivyo.
Good luck for those who applied.
with regards.
Mu-sir