Wadau natafuta Language Translation Equipment ya kukodi ( English - French ), very urgently . Napatikana Dar es Salaam. Mwenye kujua chochote kuhusu ukodishaji wa System kama hizi naomba tuwasiliane kwa PM,ni muhimu sana...only serious guys.​
Umesema urgently, ukasema.only serious.people, jamaa akakupa options za kutosha kwa contacts ikiwemo 24/7 availability, halafu unamjibu 'by tomorrow'! You cant be serious. Samahani lakini.