Hii kali nimeisikia leo, Mkuu kwa nini unataka kutengeneza website kwa Microsoft Publisher??
Static websites kwa nini usichukue muda wako kusoma HTML na CSS ili uweze kumanipulate site unavotaka?? Hakuna kitu rahisi kama HTML na CSS, soma two hours utaweza kutegeneza anything unachokiona kwenye hiyo publisher yako, more exercises baada ya wiki utaweza kutegeneza very good looking and responsive templates, hata kuweka some animations pia.
Usipende kurahisisha mambo kupitiliza, tunapenda cheap lakini isiwe cheap which is costful.