Urgent!!!mining engineer anahitajika!

Alfred123

Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
10
Reaction score
3
Wadau habarini!Kwa yoyote mwenye ndugu yake ambae ni Graduate mwenye experience ya Blasting kwa miaka mitatu na zaidi anahitajika haraka sana kwa kufanya kazi kwa muda.
Kazi yenyewe iko Rwanda Kwa hiyo mwenye nia ya kwenda kufanya kazi kama Mining Engineer in Blasting please This is my email for more information. johnmau88@yahoo.com just send me your number in that email then ntakupigia mimi mwenyewe kukupa taarifa kamili kwa sababu inabidi nikueleze zaidi.Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…