Urgent: Kufungua password ya simu

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Wadau za asubuhi. naombeni maarifa yenu namna kufungua smartphone na kupata taarifa ndani yake bila kuathiri kupotea kwa data husika. Najua kina Mkwawa na wengine watatoa msaada humu. Natanguliza shukrani zangu
 
Any help tafadhali. Hiyo debug definately itakuwa off
 
Ok kama Huna access ya setting nenda Google and write " (jina ya cm) twrp download " Ile uweze kupata ADB sideloads then delete the password file....
 
Thanks in advance
 
msipende kuongea msioyajua nyie. Haya ni simu ya marehemu. Ziko taarifa muhimu tunazihitaji
 
Mwenyewe kazipiga pin mnafukunyua ili iweje?
Magu kashakataza kufukua makaburi nyie hamuelewi tu
 
Mimi ninaweza kufungua simu janja zote kasoro IPhone na hizi Samsung za kileo zaidi.
Nakupa hint, ingia YouTube kisha andika how to unlock ....... Weka model ya simu husika kisha cheki maelezo vizuri.
Ukishindwa nitext PM niko dar
 
Ushaambiwa Ni simu ya marehemu ndugu!!!
Wakati wa uhai wake alikuwa Anazibithi data zake zisionwe na wasiohusika Sasa inakuwaje baada ya Mwenyewe kufa nyie mnakazana mchungulie visivyochunguliwa?
Flash simu hiyo mtumie Kama ilivyotoka dukani dadek
 
Mimi ninaweza kufungua simu janja zote kasoro IPhone na hizi Samsung za kileo zaidi.
Nakupa hint, ingia YouTube kisha andika how to unlock ....... Weka model ya simu husika kisha cheki maelezo vizuri.
Ukishindwa nitext PM niko dar
Nashukuru kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…