Quality oriented
Member
- Dec 22, 2019
- 18
- 11
Hii email yenu ipo Sawa Kweli?Submit your CV to nnshera@ymail.com
ndio, iko sawa mkuuHii email yenu ipo Sawa Kweli?
Asante mdada, ila mm niko kwenye tv production.
Inakuvurugaje sasa?Asante mdada, ila mm niko kwenye tv production.
Anyway, na kazi za wale walioishia form six mana h diploma yangu ya TV naona inanivuruga tuu 😭
Sipati kazi niliyosomeaInakuvurugaje sasa?
Polee.. Tv production, au uende tbc 🤔anyways.. endelea kupambanaSipati kazi niliyosomea
Hiring inaendana na firing wakati employing inaendana naaa terminatingCan somebody tell me the difference between hiring and employing plz.
Yaani hawa ikibidi uwafuate hukohuko wanataka kuleta mazoea! Mimi nina ya ass lect, chuo cha maji!Nna za TBC nazisikilizia japokuwa napo pagumu
View attachment 3582209
Ila mwanangu usichoke bhana, tuendelee kupambana japokuwa kweli tumechoka 🙌
sidhan kama nimeelewa badoH
Hiring inaendana na firing wakati employing inaendana naaa terminating
Kipi kihindi hapo?sidhan kama nimeelewa bado
hata sio kihindi ni kituruki. sasa firing na terminating hata kama ni wewe kweli umeelewa hapo teacher. Ungekuwa mwalimu wangu ngumi zinakuhusu tena za masikion. Anyway achana nayoKipi kihindi hapo?
Firing si unafukuzwa kama kibarua au? Termination ya contract si una sign na kulipwa chochote kitu mzee..hata sio kihindi ni kituruki. sasa firing na terminating hata kama ni wewe kweli umeelewa hapo teacher. Ungekuwa mwalimu wangu ngumi zinakuhusu tena za masikion. Anyway achana nayo
Firing si unafukuzwa kama kibarua au? Termination ya contract si una sign na kulipwa chochote kitu mzee..
[/QUOTE atleast hapo naweza sema nimekuelewa wewe. Sasa mim kwa akili zangu mixer konyagi hiring n kukodi au kukodiwa na employing ni kuajiriwa and in most cases kusign contract occurs on both side kukulinda wewe na boss wako. Au zimeshika