kwanza andika vizuri maana ukiingia kwenye hii field uwe au usiwe mwanasheria unatakiwa uandike kwa ufasaha bila kukurupuka. it is not curable, the best option is to withdraw and file the new one
kwanza andika vizuri maana ukiingia kwenye hii field uwe au usiwe mwanasheria unatakiwa uandike kwa ufasaha bila kukurupuka. it is not curable, the best option is to windraw and file the new one
Aliyeweka post yuko sahihi,it is purely legal english unaposema eti mbwembwe cyo,mlishazoea kwenye jukwaa la udaku na utani hapa ni pengine,muwe mnasoma na kupita siyo kuacha comments za malalamiko,jukwaa hili la wenyewe