M Micky roy Member Joined Jun 9, 2020 Posts 5 Reaction score 4 Jun 13, 2020 #1 Hivi kama jina la cheti cha kuzaliwa na cheti cha Form Four yana utofauti katika jina la mwisho kunauwezekano wa kurekebisha jina la mwisho katika cheti cha Form Four ili lifanane na lile la cheti cha kuzaliwa? Inakuaje msaada wenu wanaofahamu
Hivi kama jina la cheti cha kuzaliwa na cheti cha Form Four yana utofauti katika jina la mwisho kunauwezekano wa kurekebisha jina la mwisho katika cheti cha Form Four ili lifanane na lile la cheti cha kuzaliwa? Inakuaje msaada wenu wanaofahamu
Doppelganger JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 1,858 Reaction score 759 Jun 13, 2020 #2 Muone wakili, akutengenezee Deed Poll, isajiliwe na baadaya hapo hautakuwa na tatizo la majina tena. Sio lazima Mahakamani.
Muone wakili, akutengenezee Deed Poll, isajiliwe na baadaya hapo hautakuwa na tatizo la majina tena. Sio lazima Mahakamani.
M Micky roy Member Joined Jun 9, 2020 Posts 5 Reaction score 4 Jun 14, 2020 Thread starter #3 Kwahiy kwenye hiyo deed pool nitaandika jina nalotaka mimi Doppelganger said: Muone wakili, akutengenezee Deed Poll, isajiliwe na baadaya hapo hautakuwa na tatizo la majina tena. Sio lazima Mahakamani. Click to expand...
Kwahiy kwenye hiyo deed pool nitaandika jina nalotaka mimi Doppelganger said: Muone wakili, akutengenezee Deed Poll, isajiliwe na baadaya hapo hautakuwa na tatizo la majina tena. Sio lazima Mahakamani. Click to expand...
Doppelganger JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 1,858 Reaction score 759 Jun 14, 2020 #4 Micky roy said: Kwahiy kweny hiy deed pool nitaandk jina nalotaka mm Click to expand... Umesema cheti cha kizaliwa na cheti cha form 4 majina yamepishana. Deed Poll, itaonesha kuwa majina yote (ambayo yamepishana kwenye nyaraka zako) ni ya mtu mmoja, ambaye ni wewe. Haiongezi jina jipya.
Micky roy said: Kwahiy kweny hiy deed pool nitaandk jina nalotaka mm Click to expand... Umesema cheti cha kizaliwa na cheti cha form 4 majina yamepishana. Deed Poll, itaonesha kuwa majina yote (ambayo yamepishana kwenye nyaraka zako) ni ya mtu mmoja, ambaye ni wewe. Haiongezi jina jipya.
M Micky roy Member Joined Jun 9, 2020 Posts 5 Reaction score 4 Jun 14, 2020 Thread starter #5 Oky nimekupa clear kaka..nakweny kuapply mkopo wa chuo utaambatanisha na hiyo deed pool? Doppelganger said: Umesema cheti cha kizaliwa na cheti cha form 4 majina yamepishana. Deed Poll, itaonesha kuwa majina yote (ambayo yamepishana kwenye nyaraka zako) ni ya mtu mmoja, ambaye ni wewe. Haiongezi jina jipya. Click to expand...
Oky nimekupa clear kaka..nakweny kuapply mkopo wa chuo utaambatanisha na hiyo deed pool? Doppelganger said: Umesema cheti cha kizaliwa na cheti cha form 4 majina yamepishana. Deed Poll, itaonesha kuwa majina yote (ambayo yamepishana kwenye nyaraka zako) ni ya mtu mmoja, ambaye ni wewe. Haiongezi jina jipya. Click to expand...
Doppelganger JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 1,858 Reaction score 759 Jun 14, 2020 #6 Micky roy said: Oky nimekupa clear kaka..nakweny kuapply mkopo wa chuo utaambatanisha na hiyo deed pool? Click to expand... Yes, popote utakapoambatanisha nyaraka zako pamoja na vyeti vilivyopisha majina, utaambatanisha nakala ya hiyo Deed Poll.
Micky roy said: Oky nimekupa clear kaka..nakweny kuapply mkopo wa chuo utaambatanisha na hiyo deed pool? Click to expand... Yes, popote utakapoambatanisha nyaraka zako pamoja na vyeti vilivyopisha majina, utaambatanisha nakala ya hiyo Deed Poll.
M Micky roy Member Joined Jun 9, 2020 Posts 5 Reaction score 4 Jun 14, 2020 Thread starter #7 Oky.asante kaka Doppelganger said: Yes, popote utakapoambatanisha nyaraka zako pamoja na vyeti vilivyopisha majina, utaambatanisha nakala ya hiyo Deed Poll. Click to expand...
Oky.asante kaka Doppelganger said: Yes, popote utakapoambatanisha nyaraka zako pamoja na vyeti vilivyopisha majina, utaambatanisha nakala ya hiyo Deed Poll. Click to expand...