urasimu ni nini kwanza???
Nashkuru kwa input yako ila ntakuuliza ma swali machache tu.Naenda kinyume na mtoa mada, me mwaka huu nimefanikiwa kusaidia kufungua kampuni 4, sijaona urasimu popote kama utafuata kile kinahitajika. Ya kwanza nilipata changamoto, lakini baada ya kufanikiwa hiyo zilizofuata hazikurudishwa hata mara moja.
Fuata maelekezo yanayo tolewa.
Pole! Kwanini uweke mhuri kwenye system online? Jina lako na kitambulisho chako ndio vinatakiwa viwakilishe kwa niaba ya mihuri. Pia system ya online kwanini inakupa ruhusa ku print kisha ufanye scan? Inatakiwa ujaze hapo hapo na u save. Kama kuna mabaya ume fanya au wanashida na wewe, wanakuita kwa njia kitambulisho chako cha taifa. Ingekua hivi isinge kua kuna mambo ya kilumi wala namba.Mimi kwa sasa nimegairi make mtu anakwambia sijui apo ulipaswa uweke namba badala ya kuweka kwa kilumi. Unamaliza anasema huo muhuri haufai. Kiukweli pana shida nimeacha make marekebisho yamezidi wakikusahusha hili unamaliza wanaleta lile. Panashida pale
Siwaelewi jamaa angu na payment wamepokea kiukweli kizuizi cha biashara nyingi kufanyika ni hizi taasisiPole! Kwanini uweke mhuri kwenye system online? Jina lako na kitambulisho chako ndio vinatakiwa viwakilishe kwa niaba ya mihuri. Pia system ya online kwanini inakupa ruhusa ku print kisha ufanye scan? Inatakiwa ujaze hapo hapo na u save. Kama kuna mabaya ume fanya au wanashida na wewe, wanakuita kwa njia kitambulisho chako cha taifa. Ingekua hivi isinge kua kuna mambo ya kilumi wala namba.
Imeshakua kama utamaduni na watu wameridhika. Wewe unania ya kufanya biashara ila unakata tamaa na nchi inarudi nyuma mara elf. Wanaotaka kumsaidia raisi afanye nchi iendelee, wamsaidie at least kwa kuongea ukweli afahamu matatizo.
Wananchi na watumishi wa serikali pia wanatakiwe wajue maana ya uzalendo. Waelimishwe maana yake labda roho zitawauma pale wakiona madhara wanayo sababisha wakikwamisha au wakikalia kimya mambo kama haya.
Nilifuatilia return more than 6 month, ile system yao ya ORS iko unstable, kiujumla BRELA waihujumu nchiSerikali ya Mheshimiwa rais Magufuli ni ya viwanda. Vipi mtu atafungua kiwanda kama hana usajili wa kampuni kwa wakati? Usumbufu huu kwanini viongozi wanaunyamazia? Maendeleo yatapatikana vipi kama mwendo ndio huu? Wafanya kazi wa brela hawana hata aibu na uzalendo na nchi yao, hawana elimu, tamaa au hawajali?
Mimi binafsi ningependa kuona;
1. Wapuuzi wote wanaofanya urasimu wasafishwe.
2. Website yao na form zilizo online karibu zote ni upuuzi hivyo waajiliwe watu wenye exposure na online system ya namna hio.
3. Iwepo dead line kwa kila application. Leo Tanzania inachukua miezi kufungua kampuni au kufanya trade mark.ni vipi watu watafanya kazi?
4. System iweze kufanya approval bila mikono ya watu. (Nchi zingine wana fanya hivyo kupunguza rushwa na urasimu).
5. System zenye huduma za serikali zisihusishe na binaadam hawa kwenye ngazi ya nchini. Wabaki wachache wajuu tu ili waweze kushikwa pale wakikosea.
Unajaza maombi na baada ya siku yanarudishwa. Leo address imekosewa, Kesho jina, Kesho kutwa signature imekaa upande etc. Mwisho utaskia ombi lako liko kwa boss. Subiri miezi. Mheshimiwa raisi baba utapata viwanda vingapi kwa style hii? Kitu kidogo kina impact kubwa kwenye nchi na hakuna mtu anasema kitu.
Ningekua mwanasiasa, ningemuomba raisi position ya kusafisha uchafu unao husiana na urasimu kwenye mambo ya maendeleo na technology. Watu wamechoka.
Serikali mnaweza kuweka hotline au platform yakuwa report watu wanao hujumu nchi kwa njia za ajabu? Nini tufanye?
Huwezi kuona urasimu iwapo umewaweka mkononi kwa rushwa na wewe ndiyo unasababisha sisi tusiotoa rushwa tusisaidiwe,unaongea upuuzi wakati wewe ndiyo kishoka wao wa kufungua makampuni brela mnawasiliana kwa namba zao za mkononi tuNaenda kinyume na mtoa mada, me mwaka huu nimefanikiwa kusaidia kufungua kampuni 4, sijaona urasimu popote kama utafuata kile kinahitajika. Ya kwanza nilipata changamoto, lakini baada ya kufanikiwa hiyo zilizofuata hazikurudishwa hata mara moja.
Fuata maelekezo yanayo tolewa.
Huwezi kuona urasimu iwapo umewaweka mkononi kwa rushwa na wewe ndiyo unasababisha sisi tusiotoa rushwa tusisaidiwe,unaongea upuuzi wakati wewe ndiyo kishoka wao wa kufungua makampuni brela mnawasiliana kwa namba zao za mkononi tu