We wacha tu ,ukiwauliza watakwambia hakuna kitu kama hicho ,wakati kuna miradi kumina moja ya Uranium hapa Tz ,ila jamaa wanaondoka na vipolo kwenda kuchunguza kama ndio yenyewe au ni rangi tu zimefanana. Na wengine wanasema haina bei,Jamani uingereza ni ndogo kwa ukubwa ,Tz ni kubwa mara nne ya Uk ,hivi ikiwa wao wana tatizo la kutupa makapi,kwa Tanzania sioni ugumu huo,hao hapo Uganda wanaondoka kwa gia ndogo kabisa na wameshakuwa na matumaini ya uhakika kuwa nishati ya nuke itatumika kuwapatia umeme wameshachoka kuamka na kuvuta moshi wa vibatali na kuamka na masharubu kwenye matundu ya pua.
Ila mafisadi wetu hawatapenda hata kuisikia nishati hiyo,CCM lazima iondoke kwenye madaraka ili kupisha wengine ambao kasi na nguvu zao itakuwa kaa chonjo saa mbaya tena tumechelewa.
Sasa hata umeme wa TANESCO wameshindwa kulipa je wataweza kugharamia Nyulklia??
Hadi leo ukisoma dossier ya Dr. Rashid Viswani wanalipia kidogo sana.. eti walidhani kulipia gharama za kuweka waya za baharini miaka hiyo ndo wamelipia ummeme!
Walipe kwanza deni la TANESCO na waache kubebwa na bara ktk umeme ndo wafikirie Nyuklia!
Jamani, nasikia tunayo madini ya urenium mengi hapa, haswa kule kusini mbinga. along lake nyasa. hii inawezekana kwetu, kwasababu tunatengeneza umeme, hatutengenezi silaha. silaha hatutakuja tutengeneze za nuke hapa tz kwasababu western countries hawawezi kukubali because of the great lakes conflicts. sisi tutatengeneza ule wa umeme. south africa wanatumia nuke energy. vinu walivyobomboa vilikuwa vya silaha walizokuwa wanalimbikiza ili kujilinda na kina nyeerere na wapigania haki wengi waliokuwa wanapinga apartheid. lakini kwasaba south wanatumia tu na ndio umeme mwingi huko unatokana na hilo. sisi tunashindwa nini? kama kuanzisha sisi tuanzishe tu, kama wakikataa mbele kwa mbele. watu wasiwe mabogasi kila siku kuogopa kuanzisha vitu ati kuwaogopa westerners. huo ni utumwa.
Watanzania kulazimisha mambo!
makaa ya mawe, maji, upepo, gesi---hizi ndio saizi zetu, ufisadi fisadi kwenye hivi vitu, je ikija nuclear fisadi mmoja akikasirika sdi tutalipuana humu!!!!
I am not joking, mimi ni mtaalam wa nuclear, TANSECO ife, system mpya ziundwe, ndio tuwaze haya!!!!
duh!! hawa makatibu kata wa Kikwete!
....kuwa na uranium sio sababu au uwezo wa kuwa na nuclear power plant,it takes more than uranium kuwa na hiyo power plant,hivi nani mwenye akili nzuri anaweza kuiuzia Tanzania hiyo technology? ugandans naona wanapiga story kujifurahisha tuu lakini will never see nuclear technology nchini kwao labda miujiza itokee
Sasa hata umeme wa TANESCO wameshindwa kulipa je wataweza kugharamia Nyulklia??
Hadi leo ukisoma dossier ya Dr. Rashid Viswani wanalipia kidogo sana.. eti walidhani kulipia gharama za kuweka waya za baharini miaka hiyo ndo wamelipia ummeme!
Walipe kwanza deni la TANESCO na waache kubebwa na bara ktk umeme ndo wafikirie Nyuklia!
kwa nini wasitupe silaha kabisa halafu muone ,kwanza tunazielekeza huko huko, mliko, mtakoma kutuchonganishaChina may help Zanzibar build nuclear power plant
Feb. 24, 2009 (China Knowledge) - China Guangdong Nuclear Power Group (CGNPG), one of China's two major nuclear power plant operators, recently signed a letter of intent with Zanzibar's main power company to help construct its first nuclear power project, said CGNPG on Tuesday on its website. The plant will be situated in Tunguu, a southern coastal in Zanzibar.
Zanzibar said China will help build one nuclear power plant in the energy-starved Muslim nation, tightening its bonds with Beijing.The nuclear agreement was among a dozen economic cooperation accords signed during China's president recent visit to Zanzibar,however, Ministry spokesman Qin Gang said Thursday that China, which signed the NPT in the 1990s, was willing to continue helping Zanzibar with its nuclear programs dreams provided they are peaceful, in line with its international commitments and agreed to be supervised by the IAEA.
Faced with an energy crunch resulting from fast economic growth, Zanzibar plans to have 40 million kw of installed nuclear capacity by 2020.