Uraia wa Siyoi: Joshua Nassari akata Rufaa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Sioni mantiki ya hiyo rufaa! Box la kura litaamua jamani.

Siyo kwamba huoni mantiki bali hujaelewa mada. Ni hivi Siyoi alizaliwa Nairobi Kenya ( So He is a Kenyan by birth) na alipaswa kuukana uraia wa Kenya pindi alipofikisha umri wa utu uzima (18) na pingamizi la Chadema ni kuwa hakuukana na hata kama aliukana hakuna vielelezo. So pingamizi ndo hilo!!!!!!
 
Hata ccm wakimtetea jamani haitutishi ccm meru haipiti labda kwa kuiba kura

Usijaribie silaha vitani mkuu, vitani hupelekwa silaha zilokwisha thibitishwa uwezo wa kuua! usisubiri kufeli kwa jaribio la kuiba kura, use maximum force to minimise casuality!!!!!!
 
Sehemu anapozaliwa mtu na kupewa kinachoitwa bith certificate ina umuhimu mkubwa sana katika Uraia wa mtu huyo kabla hajafikisha miaka 18. Ngoja niwachekeshe kidogo na hili tukio la kweli;

Tafakarini!
 
Katiba hata kama n mbovu lazima ifuatwe,Jaji Lubuva ajidhihirishe kuwa mweledi kwa kutoa hukumu juu ya hili swala,kama ni raia basi atupe na maelezo yanayothibitisha hilo,kama sio amwengue maana lazima tuheshimu taratibu za nchi!
 
Mungi ndio maana nasema kila siku Tanzania ni nchi la lawlessness hakuna ufuataji wa sheria kila mtu anafanya analolitaka na kulipenda haijalishi kama anafuata sheria au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…