yaan kwa bois inabid uwe na biological science na Understanding,unaweza kuwa navyo vyote au kimoja wapo inategemea na uwezo wako
about chemistry hakna ktabu kzur sana zaid ya chand na pia vitini vyakutosha hvi vya kina unga mandia etc
physicx kaka kama kawaida yake kila kitabu ni kzur lakin inabid angalau upitie vtabu vyote lakin kwa kuanzia anza na chand 5 na chand 6
NOTE;
hvyo vtabu vyote vnaenda sambamba na vitini au kama we unaenda private bax notes za mwalimu