Urafiki wa mwanamke na mwanaume

Hapo itabidi ujilaumu wewe tu kwa aina ya Ke unaemchagua kuwa rafiki yako.. by the way, urafiki huu ni sawa na kutembea na muwa mkononi au kuweka toothpic kinywani, utajikuta umesha tafuna tuu
 
Inasikitisha kuona wanaume tunakimbia jukumu la kuwahudumia watoto wa kike.

Unajua tofautisha kumuhudumia dem wako na mahusiano baina ya marafiki, kama dem wako ww ni lazma uhudumie kini apa anaongelea marafiki, tena angalia ata circumstance alizoweka, unakuta unaweza ukawa unataka kumsaidia mtu anazingua, kama mm nakumbuka nilialikwa na mjomba wangu tukazurule saab hatujapishana sana kiumri na katika kuzungumza nikagundua mjomba wangu anaweza akamsaidia rafiki yangu flan ivi wa kike katika ajira ya uwalimu wa shule, sababu yy alipata ajira shule.ya private yenye upungufu wa walimu kwa mda huo, nikakurupuka chap kumpigia.

Nikamuomba aje apo tulipo, sikutaka kumuambia sababu kwasababu mjomba alitaka amuone kwanza mwenyewe kabla kumuambia chochote, sasa katika kuomba, mara sina nauli, nikamwambia ntakulipia, mara sijiskii vzuri, basi nakuja kwako mara ninawagen, the problem with women is that they all think everguy is after them lakini kunawengine urafiki tunauweza tu vzuri either kwasababu tunawapenz wetu au kwasababu hatuoni haja ya kutafta wapenz kwa mda huo
 
Hahaha mweeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…