Urafiki wa mashaka wa vituo vya redio

Msengerema ni msengerema tu ht iweje. Acha kupindisha maneno ili kupotosha watu
 
Kweli duniani hakuna rafki wa kudumu na adui wa kudumu.mfano
Clouds na Makonda
Mengi na Clouds
Nape na Uhuru wa vyombo vya habari.
 
Kwa kifup tunajua ngada wahisika wana infuence kubwa katika sekta mbalimbali

Usishangae watu kuja kututoa nje ya mada
 
Reality is just a crutch for people who can't handle drugs
 
makonda amekuwa mkuu wa wilaya kabla ya kuwa mkuu wa mkoa hatukusikia makelele kwa nini baada ya kugusa habari ya madawa kelele zimekuwa nyingi ?!! ...hapo kuna wanufaika wengi sana wa hii biashara sasa wanaibuka kwenye mahandaki yao...magu na makonda komaeni hasa mpaka mwisho wa hii vita bila shaka tunaukaribia ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…