Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
Pamoja mkuuSasa umeshajiona hauko sawa na sio kawaida, then unauliza sio tatizo kweli?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wewe nawe endelea kujipenda ukimaliza njoo kwa sisi masikini tusio na mawazo endelevu tuendelee kuzichakata nyuchi za wadada......bila shaka wewe ni wale wanaume watanashati mnao shindana na dada zetu kwenye vioo mkiwa out mnarembua na kujilamba lips sana hahaahaah ......I have that kind of friend
Noma sana😁😅Wewe nawe endelea kujipenda ukimaliza njoo kwa sisi masikini tusio na mawazo endelevu tuendelee kuzichakata nyuchi za wadada......bila shaka wewe ni wale wanaume watanashati mnao shindana na dada zetu kwenye vioo mkiwa out mnarembua na kujilamba lips sana hahaahaah ......I have that kind of friend
mbona umeongea kwa hisia na hasira kali mkuuWewe nawe endelea kujipenda ukimaliza njoo kwa sisi masikini tusio na mawazo endelevu tuendelee kuzichakata nyuchi za wadada......bila shaka wewe ni wale wanaume watanashati mnao shindana na dada zetu kwenye vioo mkiwa out mnarembua na kujilamba lips sana hahaahaah ......I have that kind of friend
Hajakejeli mtu, Katoa maoni,. Vilaza na mazuzu pia wapo Jfmbona umeongea kwa hisia na hasira kali mkuu
katoa maono na hisia zake hupaswi kumkejeli
haya mtoa madaHajakejeli mtu, Katia maoni,. Vilaza na mazuzu pia wapo Jf
Makinihaya mtoa mada
Kama Zero IQ mzee wa magazeti na kibanda Cha kiepeWewe nawe endelea kujipenda ukimaliza njoo kwa sisi masikini tusio na mawazo endelevu tuendelee kuzichakata nyuchi za wadada......bila shaka wewe ni wale wanaume watanashati mnao shindana na dada zetu kwenye vioo mkiwa out mnarembua na kujilamba lips sana hahaahaah ......I have that kind of friend
Ni sehemu ya misimamo yakoKiukweli sinaga maarafiki wanaoniongelea vibaya, Mara nyingi watu wanapenda kunijua lakini siwapi nafasi. Niko tofauti naweza piga story na mtu yoyote haimanishi ananijua au tunafahamiana. Kuwa na mpenzi nakuwa very selective kunakitu akiwanacho Basi lakini Kuwa na demu ilimradi Hilo siwezi Niko tofauti Bora niwe peke yangu .
Saa nyingine ninanguvu ya kujihisi tuko wawili lakini Niko peke yangu hii kitu inatokea sana ukijipenda kupitia kiasi, unaweza ukaona hata Kuwa na demu ni usumbufu Bora uwe peke yako.
Hivi Hilo ni tatizo au Sio tatizo?
Ni maisha ya wanaume wa Sasa hawapendi mademu wengi wanaona ni ushamba hayo Mambo ni ya watu maskini au wenye mawazo finyu, kutafuta furaha kwa njia ya sex au mahusiano Mara nyingi Wanaumia sana maana Bila mahusiano wanajiona Sio kitu
Ila wanasema watu wa sampuli hiyo ni wana akili sana, watu wanaopenda kukaa wenyewePamoja mkuu
Sio nakaa peke yangu tu, nakuwa na mahusiano yanayoeleweka Sio ili mradiKujipenda penda sana ipo siku utaanza kujila... chaputa nadhani tunaelewana